Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Mishkaki stand ile ya bei rahisi..
Na ndizi msenge zile zilizoiva.
Utauza hadi utaogopa.
SawaFanya vyote
VinaendanaSawa
Huu uzi auone Dotto Magari.Na hawa ndo wasomi wetu, inasikitisha sana.
SawaKaanga kuku mzima na miguu yake
Uzi ufungweMihogo kaangaa asubuhi halafu piga na hy ya viungo vya kuku mchana/jioni, ikiwa mtaani itakuwa unyama.
Umeniacha mkuu, itabidi nikuulize wewe umemaanisha nini?Ila ujisafishe kiaina, uliza wajuzi wa mambo.
Mihogo iwe asubuhi, na ununue ile laini ambapo utaanza Kwa kuichemsha kidogo iive iwe laini ndio uiweke kwenye mafuta, jioni kama walivosema wadau ndio udeal na bando za mazao ya kuku, usisahau dagaa mchele kuanzia asubuhi pilipili chachandu iwepo ya kutosha, na Kwa asubuhi ungekua kona ya wanaopika supu au maharage ni safi zaidi, tafuta kona moja matata yenye watu wengi na uwe msafi, kila chakula usishike na mikono yako uwe na vifaa maalumu au gloves za nylon,Nina laki MBILI
Ndio maana hao wasomi walioko mitaani tuna washangaa. Na ndio maana wewe umekuja kuomba ushauri Kwa akina sisi tusipo soma mkuu.Binadamu bana si Bora mm nna wazo kama Hilo? Kuomba ushauri nimekosea?
Wasomi wangapi wapo mtaani hata wazo la biashara hawana wanategemea kuajiliwa!
Wengine wanakuja hapa jukwaanikuomba msaada wapate kula najua ww ni shahidi
Hupaswi kuninanga mkuu haya maisha tu!
Mbona itakuwa mapema sana hvy 😭Uzi ufungwe
Kwamba waliosoma hata kabla ya kufa wake zao wanaolewa?Ndio maana hao wasomi walioko mitaani tuna washangaa. Na ndio maana wewe umekuja kuomba ushauri Kwa akina sisi tusipo soma mkuu.
Hapa hatukunangi Bali tunakuambia ukweli mjue elimu yenu mnayoisomea haiwasaidii mkija mtaaani mnaanza upya kutegemea wasio soma.
Ukweli mchungu huu mdogo wangu pambana na hongera Kwa kujitambua.
Nipo kwenye kelele sikusikiiKwamba waliosoma hata kabla ya kufa wake zao wanaolewa?