Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Bado hujafa ila mkeo kaolewa na biashara ga mihogo ikichanganya nitamtomba
Mbona umeanza matusi, content ya jamaa ilikua kuonesha ubovu wa elimu yetu inavowapotezea watu muda, elimu yetu huwafanya watu wawe waoga, ndio maana mtu uliemaliza nae darasa la saba akaishia hapo Kwa sasa kajenga na anafamilia, ili hali aliefika chuo kikuu hana hata mtoto na girlfriend wake kamkimbia labda akipata kazi ndio atarudi
 
Good idea


Kukaanga mihongo na kuuza makusanyo ya kuku


Kwa kuanza waweza kuanza na mihogo na makusanyo ya kuku

Ila target yako iweke ktk kuuza kuku wa kukaanga .


Kuku faida yake ni kubwa Sana waweza pata 20-30-50K faida kutegemea na mtaji wako.


Wapi utapata location?

Tafuta dalali ongea naye atakupatia location ya kufanya biashara.

Maeneo (location)

Lenga eneo lenye bodaboda hao ndo wateja wakubwa.
Itabidi nitafute dalali maana nimetembea kutafuta sehemu Hadi nimechoka yani
 
Baadae ukikaa vizuri asubuhi kwenye mihogo, unatafuta dada unaweka meza yako ya alminium unatengeneza mboga mboga kwanza unapika maharage ya kupima, unakua na vidagaa mchele vya kupima, unakua na kipimo umekatakata mbogamboga kama kabichi, chines, hapo Kwa siku utapata pesa tu kikubwa location yako, usafi na lugha njema Kwa wateja vitakubeba, kwenye maharage usiweke chumvi na uwe na kifriza kidogo kitakusaidia, wasaidizi wako waeleze usafi usafi,
Wasaidizi wake sio 😂
 
Back
Top Bottom