NIPO DUBAI πŸ‡¦πŸ‡ͺ β€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

Ni takataka za chooni wale wahuni hakuna wanachojua zaidi ya maneno maneno Tu ya uongo uongo, na wanajiamini balaa.

Unalipa pesa yako ndefu kumbe washenzi wanakuuzia simu mbovu wakifanya eti Full Box from DubaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana huwa jaona bora ninunue mpya tu mambo ya used siajawahi yaelewa
 
Uko Dubai gani mwamba? Mbona mimi niko hapa hapa Dubai lakini sijawahi kukuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…