Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Passion Lady usikubali kwanza kamata bima ya afya ya miaka 5 kamata hati ya nyumba, Mtaji ($) then ndio gari, unaweza kuchukua gari kwanza ukakuta kalikopea kesho linakamatwa na Majembe inakula kwako mpaka kwenye kisigino.
manoah and Donn tutatoboa kweli? ?Passion Lady usikubali kwanza kamata bima ya afya ya miaka 5 kamata hati ya nyumba, Mtaji ($) then ndio gari, unaweza kuchukua gari kwanza ukakuta kalikopea kesho linakamatwa na Majembe inakula kwako mpaka kwenye kisigino.
Bina ya afya nimemuandalia tena ni first class atakua anatibiwa lile daraja la ma rais.
Hati ya nyumba ipo tena ina thamani ya £ 1.2mill.
amini mkubwa, mie nikabidhi iyo kazi mkuu wangu hadi mchana kazi kwishney na mtoto atatangaza ndoa mwenyewe kwako, Passion Lady anakupenda sana mkuu
cc my Ruttashobolwa!
na wewe kumbe ushaanza kunitamani!
huu mwaka wa shetani duuuh!
kweli nimeamini ww ni ndugu yangu! !!!nakuamini mkuu
ah ah! Kazi za shift hata siku izi nazifanya
mwaka wa neema huu kwako.... Nakuona hapo unachekeleeeaaaaa
Jioni sio mbali, ndoa kati ya Tonykp na Passion Lady itatangazwa
na migomo nayo ingekuwa inakuhusu pia
mkuuinaonekana kama umepokea muamalaaaa
hahaha huo ndio undugu wa kweliTonykp ni kamanda mkuu na mie ni kamanda mdogo siwezi kukubali kamanda wangu apoteze wife kwa ajiri ya huyu mlima ndizi Ruttashobolwa
By Jiwe Linaloishi
mkuuinaonekana kama umepokea muamalaaaa
Hata mimi nimemmiss kweli Passion Lady ndoa ni tarehe 10.03.2013
bby umeshaanza mipango ya sendoff???
yani hata ww ndugu yangu Arushaone siamini! !!