The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
ni profile kaweka ila iko active ๐Banned
Shukrani mkuu!
Madogo wanna mipango toka wapo 14 yrs๐๐๐๐๐๐๐ eti ilikua ndoto yake๐๐๐๐
Kiwanda kinawaka Moto hatari๐ค๐ค๐ค Nasikia wingu zito limetanda apo daslam
Hiyo I'd niliona, huenda mods wamepita nayo๐๐ni profile kaweka ila iko active ๐
Ni mimi huyo๐๐๐
๐
Ko Yuko puberty stage ehh๐๐, tuchomeshe tu๐๐ni stage tu ๐
20 yr old virgin๐Ko Yuko puberty stage ehh๐๐, tuchomeshe tu๐๐
Najua kua ni wewe,Ni mimi huyo๐๐๐
Sasa kinachonishangaza hawana challenges za maana ๐๐๐ zaidi ni story za mademu na utumiaji wa mkongo kwa sana๐๐๐๐Madogo wanna mipango toka wapo 14 yrs๐๐
Hivi huyu ndo mwenye Ile stori ya khumbu wa south AfricaBasi tumuombee Kumbu, apumzike kwa amani. Maana alichoka kwa mazoezi yako๐๐
Nipo Mr 72 virgin hapa๐๐20 yr old virgin๐
Picha please kwenye uzi wakoHabari wanajamii....
Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...
Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...
Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!
Ahsante...
Niliona replyโs zako na tuliongea kidogo kule๐๐๐๐Najua kua ni wewe,
Kwenye ile post ya kulalamika nilikufananisha na mtukutu Genta.
๐ฎ๐ฎhamna loloteNipo Mr 72 virgin hapa๐๐
Mzee wa mizigo huyu๐๐Hivi huyu ndo mwenye Ile stori ya khumbu wa south Africa
Anaomba ela?Alikua anachagua watu ๐๐๐๐ akihisi wote mpo serikalini maana ni mzee wa kuzama pm sana...mimi nilimtoa nduki hapo ndio tatizo likaanza๐๐๐๐
Over Dem all๐ฎ๐ฎhamna lolote