The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni profile kaweka ila iko active 😂Banned
Shukrani mkuu!
Madogo wanna mipango toka wapo 14 yrs😂😂😂😂😂😂😂 eti ilikua ndoto yake😂😂😂😂
Kiwanda kinawaka Moto hatari🤔🤔🤔 Nasikia wingu zito limetanda apo daslam
Hiyo I'd niliona, huenda mods wamepita nayo😂😂ni profile kaweka ila iko active 😂
Ni mimi huyo😂😂😂
😂
Ko Yuko puberty stage ehh😂😂, tuchomeshe tu😂😂ni stage tu 😂
20 yr old virgin😂Ko Yuko puberty stage ehh😂😂, tuchomeshe tu😂😂
Najua kua ni wewe,Ni mimi huyo😂😂😂
Sasa kinachonishangaza hawana challenges za maana 😂😂😂 zaidi ni story za mademu na utumiaji wa mkongo kwa sana😂😂😂😂Madogo wanna mipango toka wapo 14 yrs😂😂
Hivi huyu ndo mwenye Ile stori ya khumbu wa south AfricaBasi tumuombee Kumbu, apumzike kwa amani. Maana alichoka kwa mazoezi yako😂😂
Nipo Mr 72 virgin hapa😂😂20 yr old virgin😂
Picha please kwenye uzi wakoHabari wanajamii....
Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...
Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...
Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!
Ahsante...
Niliona reply’s zako na tuliongea kidogo kule😂😂😂😂Najua kua ni wewe,
Kwenye ile post ya kulalamika nilikufananisha na mtukutu Genta.
🚮🚮hamna loloteNipo Mr 72 virgin hapa😂😂
Mzee wa mizigo huyu😂😂Hivi huyu ndo mwenye Ile stori ya khumbu wa south Africa
Anaomba ela?Alikua anachagua watu 😂😂😂😂 akihisi wote mpo serikalini maana ni mzee wa kuzama pm sana...mimi nilimtoa nduki hapo ndio tatizo likaanza😂😂😂😂