Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
DUHHpaa una hela yako nzurii tu ukiungana na Eric shigongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DUHHpaa una hela yako nzurii tu ukiungana na Eric shigongo
Nimecheka sanaaJumamos nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kumtembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.
Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata aibu. Nikaanza msimulia nikiwa nimejisahau kama vile namsimulia mshkaji tu.
Nikamwambia huyo mchepuko nlivyompata.na jinsi ambavyo hazipiti siku mbili tatu anaomba pesa.nikamwambia nimememchoka ila nashindwa mwacha sababu ananipa penzi zuri sana.na nina mfeel sana.
Wife aliendelea kusikiliza mpaka nlipomaliza.akaniuliza kama nimemaliza....kwa kweli hapo ndo nikashtuka na kugundua kuwa nlikuwa naharibu. Akaomba nisimamishe gari...na akawa anafungua mlango aruke.
Ikabidi nisimamishe gari ashuke.safari ikaishia hapo na ikabidi nianze mbembeleza arudi garini. Aligoma akachukua taxi kurudi home.ikabidi tu nifuatilie hiyo Taxi maana sikujua anaenda wapi.amefika home anataka abebe nguo aondoke..
Wadau toka jumamosi nimenuniwa..nikileta zawadi hapokei.unyumba nanyimwa anasema mpaka miezi mitatu ipite nikapime. Then nisubiri mitatu tena nikapime.
Yule mpuuzi kanitumia msg anaomba nimpatie 700,000 aongezee kwenye kodi ya nyumba. Sijataka hata kumjibu shetani mkubwa...muflisi,jini mnyonya damu.majulsi mkubwa ,mfitini na mchonganishi. Na leo naenda kuchukua TV,Microwave,fridge,sofa na jiko la gesi.. nimeshawaambia watu wa kirukuu.
Yaani mwanamke ananyonya damu ikiisha anataka nyonya hadi ubongo....sasa ngoja nikabebe vitu vyangu mbwa yule akajibebe na yeye...mtu gani hana shukrani?yaani ananichanganya mpaka namsimulia wife upuuzi wake?
Nimecheka sanaUnaweza kuta huyu mtu ni director wa bongo movie....
Ukabebe na mishahawa yakoJumamos nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kumtembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.
Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata aibu. Nikaanza msimulia nikiwa nimejisahau kama vile namsimulia mshkaji tu.
Nikamwambia huyo mchepuko nlivyompata.na jinsi ambavyo hazipiti siku mbili tatu anaomba pesa.nikamwambia nimememchoka ila nashindwa mwacha sababu ananipa penzi zuri sana.na nina mfeel sana.
Wife aliendelea kusikiliza mpaka nlipomaliza.akaniuliza kama nimemaliza....kwa kweli hapo ndo nikashtuka na kugundua kuwa nlikuwa naharibu. Akaomba nisimamishe gari...na akawa anafungua mlango aruke.
Ikabidi nisimamishe gari ashuke.safari ikaishia hapo na ikabidi nianze mbembeleza arudi garini. Aligoma akachukua taxi kurudi home.ikabidi tu nifuatilie hiyo Taxi maana sikujua anaenda wapi.amefika home anataka abebe nguo aondoke..
Wadau toka jumamosi nimenuniwa..nikileta zawadi hapokei.unyumba nanyimwa anasema mpaka miezi mitatu ipite nikapime. Then nisubiri mitatu tena nikapime.
Yule mpuuzi kanitumia msg anaomba nimpatie 700,000 aongezee kwenye kodi ya nyumba. Sijataka hata kumjibu shetani mkubwa...muflisi,jini mnyonya damu.majulsi mkubwa ,mfitini na mchonganishi. Na leo naenda kuchukua TV,Microwave,fridge,sofa na jiko la gesi.. nimeshawaambia watu wa kirukuu.
Yaani mwanamke ananyonya damu ikiisha anataka nyonya hadi ubongo....sasa ngoja nikabebe vitu vyangu mbwa yule akajibebe na yeye...mtu gani hana shukrani?yaani ananichanganya mpaka namsimulia wife upuuzi wake?
Maisha ya sasa gari siyo issue sema labda kwa maskiniJF na magari
🤣🤣 huyu ana vuta bangi lazima, trust me! Nimecheka mnoNimecheka sana
Jumamos nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kumtembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.
Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata aibu. Nikaanza msimulia nikiwa nimejisahau kama vile namsimulia mshkaji tu.
Nikamwambia huyo mchepuko nlivyompata.na jinsi ambavyo hazipiti siku mbili tatu anaomba pesa.nikamwambia nimememchoka ila nashindwa mwacha sababu ananipa penzi zuri sana.na nina mfeel sana.
Wife aliendelea kusikiliza mpaka nlipomaliza.akaniuliza kama nimemaliza....kwa kweli hapo ndo nikashtuka na kugundua kuwa nlikuwa naharibu. Akaomba nisimamishe gari...na akawa anafungua mlango aruke.
Ikabidi nisimamishe gari ashuke.safari ikaishia hapo na ikabidi nianze mbembeleza arudi garini. Aligoma akachukua taxi kurudi home.ikabidi tu nifuatilie hiyo Taxi maana sikujua anaenda wapi.amefika home anataka abebe nguo aondoke..
Wadau toka jumamosi nimenuniwa..nikileta zawadi hapokei.unyumba nanyimwa anasema mpaka miezi mitatu ipite nikapime. Then nisubiri mitatu tena nikapime.
Yule mpuuzi kanitumia msg anaomba nimpatie 700,000 aongezee kwenye kodi ya nyumba. Sijataka hata kumjibu shetani mkubwa...muflisi,jini mnyonya damu.majulsi mkubwa ,mfitini na mchonganishi. Na leo naenda kuchukua TV,Microwave,fridge,sofa na jiko la gesi.. nimeshawaambia watu wa kirukuu.
Yaani mwanamke ananyonya damu ikiisha anataka nyonya hadi ubongo....sasa ngoja nikabebe vitu vyangu mbwa yule akajibebe na yeye...mtu gani hana shukrani?yaani ananichanganya mpaka namsimulia wife upuuzi wake?
[emoji23]Hii tamthilia ipo channel ipi