Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

Nimecheka sanaa

Acha usaniii wee jamaaa

Unatuona mazobaa eee.

Mkee sio kanga ambaye kila.mtu anayo
 
Ukabebe na mishahawa yako
 
mh mbona kuna mwanamke ananiambia mumewe ni mjinga mjinga na kanitunuku naifumua vizur tu kwa stori za mwanamke huyo nahisi anakuongelea ww kabisa
 
Nataman kushaur,
Ila story yako bado Haniingii akilini
 
Kosa la hawara ni lipi? Zinaa ni mbaya inaleta ufukara wa akili na uchumi hudumaa ,Muombe mkeo radhi atakuswamehe
 
Dereva nishushe kituo kimoja kabla ya kufika Bagamoyo...
 
🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana, dah jinga sana wewe
 
So mmefikia Wapi na waifu wako kuhusu hilo?
 

One man down
 
Yaan umemsimulia mkeo habari za mchepuko wako [emoji849] huyo unaemuita mkeo ni mkeo kweli ama umechanganya madesa?
 
Wanaosema chai bado hawajui vitimbwi vya maisha

Kuna bro mmoja ni mtu wa karibu sana kikazi, huyu mwamba hanywi pombe wala havuti sigara, starehe yake kubwa ni mademu haswa hawa wadogo wadogo na nyumbani ana mke na watoto

Huyu bro alipata mchepuko mmoja alimuhudumia kila kitu pesa, assets za ndani ambazo hata kwake hana

Baada ya miezi kadhaa kupita demu akawa na yeye anachepuka kisiri akapigwa mimba

Bro alivogundua alidata mazima akawa amevurugwa mbaya, hiko kipindi alkuwa na machungu sana imagine ananisimulia mm hilo tukio na kuniambia kwamba sijui kama ntaweza kuishi bila ya huyu demu wakati nyumbani ana mke na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…