Unajua wazee wa usalama wana dawa moja wakikupiga sindano inaenda kufungua kabati la siri zote yaan utaongea hata ambacho hujaulizwa ilimradi tuu ni siri. Sasa waganga nao hii technolojia wanayo inaonekana mkeo alienda kwa mtaalam ili uutaje mchepuko wako mwenyewe wakati hakujiandaa kukabiliana na matokeo