Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiivipi
Bila hivyo sipo duniani
𝚂𝚊𝚜𝚊 𝚌 𝚞𝚘𝚗𝚍𝚘𝚔𝚎Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Bc ngoja waendelee kukusema cku watakufukuzaBado muda
Karibu sana hata kesho wakikufukuza njooNtakuja kwako
Ukaitika.Me nliitwa