Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Usiondoke shoga angu
Raha ya maisha heka heka, tena wakikukera uwe unawaekea na taarabu ili wasikuzoee kabisa.
Ningepata rafiki kama wwe ningepiga hatua kubwa maishani 😂😂
 
Kam amekuita mbona kama huna kwenu, ilibd kuandik hapo chin utarud ulpotoka au utatoa mchango wa chakula
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
𝚂𝚊𝚜𝚊 𝚌 𝚞𝚘𝚗𝚍𝚘𝚔𝚎
 
Mkuu kwani we hauna D mbili? We ukishasikia mwanamke anahama kwake anahamia kwa mwanamke mwenzie na hataki kuondoka unatakiwa uelewe kinachoendelea.
Wweeee i love men,😂
 
Back
Top Bottom