KwakweliHuu mwaka utakuwa mrefu sana
Siona wachangiaji wenyewe lakiniMi hii hapana, nimeamua kutafuta udafanuzi humu ila huku niliko nitakufa nayo!
Still nitakuwa nimetua 'zigo' flani; kupata au kutokupata ni moja ya matokeo tu na yapaswa yakubalike.Siona wachangiaji wenyewe lakini
ShukraniPole mkuu
Ukikua utaachahama hapo kwenu dogo.ukipata changa moto hutaota ndoto za aina hizo tena.
Kitu hujui, unaweza kuta mzee wako alizunguka huko na huko akazaa binti.Kabisa, si kawaida ndoto kama hizi.....nimeota maelfu ya ndoto katika makumi ya miaka lakini hii ni ya ajabu kabisa!
Futa kwanza video zote za huo uchafu wa kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwenue simu yako (kama zipo), halafu ndiyo utapata ushauri sahihi.Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.
Ni nini hiki?!!!!!!
Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.
Nawasilisha waheshimiwa!
Sina hayo mamimambo mimi.......na hata sijawahi.Futa kwanza video zote za huo uchafu wa kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwenue simu yako (kama zipo), halafu ndiyo utapata ushauri sahihi.
Eeeh?!!!!!Kitu hujui, unaweza kuta mzee wako alizunguka huko na huko akazaa binti.
Bila kujua una date naye, hebu jichunguze
Ahsante sanaMkuu usiwe na wasiwasi hata mimi imenitokea hiyo ni ndoto pevu mara nyingi aidha ni ishara una nyege sana au basi tu kichwa kina madudu na ni kawaida
Bila shaka hiyo ndoto itakuwa ni ile ya kukufedhehesha.Pole sana bora ufe nalo tu mimi mwenyewe nimeota ndoto ya ajabu sana ila inahusu ngono nimekaaa kimyaaaa nitakufa na hii ndoto kichwani
SHUKRANI SANA!Siku Ndoto ya aina hiyo ukiota zaidi ya mara 3, nifate inbox nikuambie cha kufanya, hapa utadhihakiwa tu na Watoto wa Mbwa.