Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.

Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.

Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.

Ni nini hiki?!!!!!!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.

Nawasilisha waheshimiwa!
Dada yako mzuri? Ulipiga ngapi? Mlitumia Kinga? Angalia asije akawa amepata Mimba. Weka picha yake hapa.
 
Kemea Sana ikirejeaa tafuta watume na manabii hvyo hvyo waelezee wakupe mwanga
 
Back
Top Bottom