Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.

Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.

Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.

Ni nini hiki?!!!!!!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.

Nawasilisha waheshimiwa!
Dah umeota unamsugua dada Yako mashavu kisawasawa vp dada anamsambwanda au?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.

Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.

Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.

Ni nini hiki?!!!!!!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.

Nawasilisha waheshimiwa!
 
Attachments

  • 20221105_071249.jpg
    20221105_071249.jpg
    37.1 KB · Views: 6
Achana na ujinga wa kuangalia video chafu..ndio zimekujaza mawazo hayo mpaka yanajirudia kwenye ndoto
 
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.

Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.

Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.

Ni nini hiki?!!!!!!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.

Nawasilisha waheshimiwa!
Mkuu pole sana huyo ni jini mahaba unaye mwilini mwako anakuharibia kila kitu katika maisha yako pesa ukipata hazikai kila kiu kwako kinakuwa ni kigumu marafiki zako wa karibu wanakuchukia na ndugu wanakuchukia pasipo na sababu. Hizo zote ni dalili ya kuwa wewe una jini mwanamke aka jini mahaba nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtoa huyo jini mahaba usipo mtoa atakutia Nuksi na ya kutopata pesa na umasikini wa maisha .
 
Mkuu pole sana huyo ni jini mahaba unaye mwilini mwako anakuharibia kila kitu katika maisha yako pesa ukipata hazikai kila kiu kwako kinakuw ani kigumu marafiki zako wa karibu wanakuchukia ndugu wanakuchukia pasipo na sababu. Hizo zote ni dalili ya kuwa wew una jini mwanamke aka jini mahaba nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtoa huyo jini mahaba usipo mtoa atakutia umasikini wa maisha .
Shukrani kiongozi!
 
Unarudia ambacho nimeshajibu, kwakuwa hunijui basi uko sahihi
Mkuu kuna mtu mchafu wa kiroho anaweza kuwa na tabia za kishirikina au tabia fulani mbaya au makubaliano fulani ya hovyo anapanga kumshirikisha mtu hilo jambo kwa namna isiyo ya kawaida.Kama mama yako mzazi yupo basi ndie anaewindwa kwa jambo hilo.Huyo aliefichwa ni mtu unaemjua vilivyo, kufichwa kwake kindoto ndivyo jinsi unavyomfahamu kiundani.
 
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.

Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.

Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.

Ni nini hiki?!!!!!!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.

Nawasilisha waheshimiwa!
Ni dalili mbaya iyo.. tubu kwanza usamehewe,,, ncheki inobox kwa msaada zaidi
 
Moja kati ya haya:-
  1. Kuna aibu kubwa itakupata wewe au mtu wako wa karibu.
  2. Jini mahaba uliyenaye ndo anakujia kwa sura za watu wa karibu na wewe.
 
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.

Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.

Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.

Ni nini hiki?!!!!!!

Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.

Nawasilisha waheshimiwa!

Maana ya hiyo ndoto ni kwamba utajipatia maslahi au faida fulani kutoka kwa huyo dadako lakini hayo maslahi au faida itakuwa ya haramu, na maslahi hayo utayapata baada ya kushawishiwa, kuelekezwa au kurubuniwa na mtu fulani.

Fanya maombi kuepukana na ushawishi huo mbaya.
 
Back
Top Bottom