Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.
Ni nini hiki?!!!!!!
Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.
Nawasilisha waheshimiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Dada na yeye ameota ndoto hiyo?
Oh, unanitisha mkuuHiyo ni ishara kuwa kuna kitu cha aibu kitatokea kwenye familia yenu
“Tena mtu mume akimwoa umbu *lake, binti ya baba yake, au binti ya mama yake, na kuuona utupu wake, na huyo mwanamke kauona utupu wake huyo mume; ni jambo la aibu; watakatiliwa mbali mbele ya macho ya wana wa watu wao; amefunua utupu wa umbu lake; naye atauchukua uovu wake.
”
— Mambo ya Walawi 20:17
Ni roho ya mauti imeachiliwa kwako na laana bt kuota ni lugha ya picha umeonyeshwa ili uombe mapema ili visikupate.
So omba Toba kwanza Kwa mlango ulio funguka, achilia Damu ya Yesu inene rehema na Toba juu yako.
Toba itampa Mungu nafas ya kukutetea.
Anza na Toba utapata amani,
Kesho nikipata muda nitakufundisha. Toba kwaajil ya roho ya mauti na kukataliwa na laana( maana ya laana na kutokufanikiwa) na roho iliyo nyuma ya hizo ndoto, Toba tumia damu ya Yesu, nyunyiza damu ya Yesu inene rehema
Kinywa chako, ukitamka Kwa Imani,Damu ya Yesu inapatikanaje??
Mambo ya kiroho huendeshwa kiimani zaidi, kwani hiyo hewa/uhai/roho yako iko visible au tangible?Damu ya Yesu inapatikanaje??
Mambo ya kiroho huendeshwa kiimani zaidi, kwani hiyo hewa/uhai/roho yako iko visible au tangible?
Jibu utalopata hapo ndipo pia jinsi damu ya YESU hupatikana, na wale tuliofunuliwa neema ya kuijua vizuri damu ya Yesu hakika imetushindia mambo mengi na makuu sana.

HaaaDuuh amakweli hii nchi inahitaji katiba mpya..
Pepo hlo kemeaImenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.
Ni nini hiki?!!!!!!
Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.
Nawasilisha waheshimiwa!
Pepo ileImenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota tunafanya, ni kinyume na maumbile ndg zangu huku kukiwa na mtu (sikumtambua ndotoni kuwa ni nani) anayeelekeza.
Ni nini hiki?!!!!!!
Kwa uzoefu wangu mdogo wa jf nilionao, nalazimika kuadvance ahsante zangu kwa waliokuwa standby kunidhihaki.....kudhihaki wenye kukutwa na visanga.
Nawasilisha waheshimiwa!
Umeota unamegwa?Pole sana bora ufe nalo tu mimi mwenyewe nimeota ndoto ya ajabu sana ila inahusu ngono nimekaaa kimyaaaa nitakufa na hii ndoto kichwani