Huyo niliyempa hilo jibu, limeendana na mada yake, au unataka majibu yanayobeba mtazamo wako?Umedai hakuna kada wa ccm atayeanzisha chama Cha maana,ndiyo nikamtaja mtei na chadema yake,hoja haikua promo jf
Atatikisaje sharubu za ccm wakati, ccm haishindani kisiasa bali mbeleko ya vyombo vya Dola?Mimi sio mtei Kila mtu na njia zake ,na je aliwahi hata kutikisa sharubu za ccm au kushika Dola?
Walikuwepo ccm kwa hiari yao, au ilikuwa ni automatic membership?Kila aliyezaliwa kabla ya vyama vingi alikuwa ccm hata hao viongozi wa upinzani waliopo sasa walikuwa ccm
Soma kuhusu ostracism, usije ukaondolewa mwenyeweSina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu kimaisha kupitia ruzuku wanayopata !! Hakuna kipya Cha kujifunza kwenye vyama vilivyopo kwa sasa ,kwa sababu vimetawaliwa na uoga ,ubinafsi na ukanda 😭vyama vilivyopo sasa haviwezi kushika Dola abadani! Sera za vyama vyetu vya siasa vilivyopo ni ama kujipatia kipato na kung'ang'ana ili kulinda maslahi binafsi ,ndio maana ni wale wale hakuna rotation ya kimfumo ,nenda uendako Kila ukirudi utawakuta ni wale wale ! Tunahitaji chama kipya kitakachotatua mtanzuko huu holela wa vyama siasa! Marehemu sengondo mvungi aliwahi kuonya umajumui wa vyama vyetu hasa uchaguzi ukikaribia kufeli kwa mikakati na usaliti . Sisi ni vijana na hii ni nchi yetu twendeni kifua mbele tuibebe Tanzania kuipeleka nchi ya ahadi ! Mimi naamini Kila mkoa wapo vijana wanaotamani mageuzi na nafasi ya kuonyesha karama zao katika siasa ! Majukwaa ya kisiasa yaliyopo sasa Yana wenyewe ! Ni yao na watoto wao ! Tuundeni chama kipya kama alivyofanya mwanamziki bobi wine pale Uganda! Ni kijana mdogo lakini amefanikiwa kuunganisha vijana nchi nzima na sasa chama chake Cha NUP ,kinaelekea kushika Dola! Tunao vijana bukoba ! Mbeya ,rukwa ,tabora ,ruvuma ,lindi ,mwanza na mikoa mingine yote ambao kwa pamoja tunaweza kuunda chama chenye nguvu sana na kikawashangaza watu! Tuache kukesha mitandaoni tukisubili eti vyama vilivyopo kwamba vinaweza kutuletea mabadiliko yoyote ! Tutakuwa wafu tunaosubili kuangua embe kwa miti ya michongoma ! Tuamke ,tuliamshe taifa letu !kama ni hivyo basi kwa mujibu wa Sheria na kanuni tunaanza kuelekea 2025 tukiwa na chama kipya Cha kisiasa!
Tatizo walilonalo wa-Tanzania siyo vyama vya Siasa.Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu kimaisha kupitia ruzuku wanayopata !! Hakuna kipya Cha kujifunza kwenye vyama vilivyopo kwa sasa ,kwa sababu vimetawaliwa na uoga ,ubinafsi na ukanda 😭vyama vilivyopo sasa haviwezi kushika Dola abadani! Sera za vyama vyetu vya siasa vilivyopo ni ama kujipatia kipato na kung'ang'ana ili kulinda maslahi binafsi ,ndio maana ni wale wale hakuna rotation ya kimfumo ,nenda uendako Kila ukirudi utawakuta ni wale wale ! Tunahitaji chama kipya kitakachotatua mtanzuko huu holela wa vyama siasa! Marehemu sengondo mvungi aliwahi kuonya umajumui wa vyama vyetu hasa uchaguzi ukikaribia kufeli kwa mikakati na usaliti . Sisi ni vijana na hii ni nchi yetu twendeni kifua mbele tuibebe Tanzania kuipeleka nchi ya ahadi ! Mimi naamini Kila mkoa wapo vijana wanaotamani mageuzi na nafasi ya kuonyesha karama zao katika siasa ! Majukwaa ya kisiasa yaliyopo sasa Yana wenyewe ! Ni yao na watoto wao ! Tuundeni chama kipya kama alivyofanya mwanamziki bobi wine pale Uganda! Ni kijana mdogo lakini amefanikiwa kuunganisha vijana nchi nzima na sasa chama chake Cha NUP ,kinaelekea kushika Dola! Tunao vijana bukoba ! Mbeya ,rukwa ,tabora ,ruvuma ,lindi ,mwanza na mikoa mingine yote ambao kwa pamoja tunaweza kuunda chama chenye nguvu sana na kikawashangaza watu! Tuache kukesha mitandaoni tukisubili eti vyama vilivyopo kwamba vinaweza kutuletea mabadiliko yoyote ! Tutakuwa wafu tunaosubili kuangua embe kwa miti ya michongoma ! Tuamke ,tuliamshe taifa letu !kama ni hivyo basi kwa mujibu wa Sheria na kanuni tunaanza kuelekea 2025 tukiwa na chama kipya Cha kisiasa!
Nini MAANA ya sera?!Hata Nyerere walimwita kichaa kwa hiyo sio ajabu
Nadhani vijana wenye uwezo wa kuahirisha kufikiri,(kujitoa ufahamu)Mbona hujasema unahitaji vijana wa aina gani na wenye elimu gani?
Hahahaha duhNadhani vijana wenye uwezo wa kuahirisha kufikiri,(kujitoa ufahamu)
Umenena vema kwamba chama kinachojulikana kimeshindwa ,kwa maana hiyo ukongwe wa chama sio hoja ! Bobi wine alisajili chama chake mwezi mmoja kabla ya uchaguzi na akapata nusu ya viti bungeni !rais wa sasa wa Senegal diomaye Faye alikuwa hajulikani popote na amesajili chama chake mwezi mmoja kabla ya uchaguzi na ameshinda uchaguzi hivyo mikakati na ubora wa mipango ndio itatusaidia sio ukongweChama kikuu cha upinzani CHADEMA kimeshindwa kuking'oa CCM madarakani itawezekana vipi kwa chama chako kisichojulikana? Unaleta mzaha kana kwamba hujui nguvu ilizonazo CCM
Basi mimi nipo kigoma nilijaribu mpaka leo ni mwanachama wa act wazalendo lakini sikielewi hichi chama changu kinasimamia kitu ganiHarakati za ukombozi zinamhitaji kijana yeyote wa kitanzania awe amesoma ama lah! Mengine tutaelekezana kwenye vikao pindi tutakapo Anza rasmi
Nikuombe tu lazima uwe na jukwaa huru litakako kupa nafasi ya kutumia karama zako zote kuijenga nchi yetu karibu sana njoo dm tuwasilianeBasi mimi nipo kigoma nilijaribu mpaka leo ni mwanachama wa act wazalendo lakini sikielewi hichi chama changu kinasimamia kitu gani
Hivyo vitu ni andiko huwezi kuvikuta hapa ,ukivitaka njoo ofisini au ingia dm tupe email yako tutakutumia ,Bado haujafika muda wa kuweka hapa jfWatu makini hawaingii kwenye vyama kinyumbunyumbu bila ya kujua falsafra yake,itikadi,misimamo,sera,malengo na dira yake.