Bank teller wa bank fulani, akikaa pale dirishani kugawa na kupokea hela anajiona matawi ya juu kwelikweli ,matokeo yake amejaa dharau na kebehi ambazo hazitamsaidia chochote zaidi ya kumjutisha mbele ya safariWewe Kama sio Mnyakyusa basi watu wa kaskazini.
Kiufupi nikuwa umejitahidi kumtawala jamaa inashindikana ndo unajitahidi kuweka sababu za kijinga.
Ushawahi kufanya hiyo biashara ya Mpesa?
Huyu nae ni mke wa mtu na ukute kasoma.
Bank teller Kama ndo Wana akili hizi basi ni mafurushi Kama mafurushi mengine..Bank teller wa bank fulani, akikaa pale dirishani kugawa na kupokea hela anajiona matawi ya juu kwelikweli ,matokeo yake amejaa dharau na kebehi ambazo hazitamsaidia chochote zaidi ya kumjutisha mbele ya safari
Idea V's experienceKuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground,though kaanzisha
M.pesa,binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.
Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.
Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!
Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Hili ndio ulilodhamiria kunfanyiamimi nitamuacha jamani!!!
Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha
M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.
Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.
Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!
Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Vyakula kipengele.Ukiweza kukuza kuku 100 chotara au kienyeji una uwezo wa kuuza kwa wastani shilingi elf 15 kuku mmoja kwa bei ya chini sana. 15000 Mara kuku 100 ni 1,500,000/=
Na hawa wastani kifaranga kilichochangamka utanunua kwa elf 4 Hadi elf 5. Ambapo gharama yake ya manunuzi haitazidi 500000. Vyakula utafuga free range zaidi. Pamoja na Chanjo na madawa bado faida ipo
Huyo mwanaume hapa ana bomu. Sasa ndiyo unamuanika? JF huku unafanya nini wewe? Nyie ndiyo sampuli za Mr Engonga.Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha
M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.
Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.
Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!
Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha
M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.
Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.
Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!
Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Kama ni ufugaji large scale say kuku 1000 msapoti mtapata mafanikio, ndio maana wanaume tunapenda kufanya mambo yetu halafu tuwape taarifa maana ubishi wenu unatuumiza hasahasa tusipokuwa na helaKuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha
M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.
Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.
Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!
Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Wewe ni mpumbav...u, na hakuna mwanaume mwanaume Mwenye akili anaweza anzisha familia na wewe.Lolote laweza tokea wasi wasi ndio akili wanangu nahitaji wasome nahitaji nae awe na kipato Cha kutosha watoto wasiangaike namuona yupo slowly Sana kwenye kutafuta pesa ata saizi nikimpigia nimwanbie tu Nina shida atakuambia pesa Hana Sasa kama tu anashindwa kunisaidia mimi shida ndogo ndogo vipi hao watoto labda hatumi Kwa sababu anaona Kuna kitu ambacho kinaniingizia pesa anaona Nina pesa lakini akiwa kama mwanaume hatakiwi kuangalia kipato changu inabidi a play part yake kama mwanaume.