Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

Mimi kwenye huu umri wangu nilishawahi kula wake za watu ila sikushauri ufanye hovyo kwa kuwa inaonekana wewe na huyo mwanamke wote akili zenu ni kama tunda ya ubuyu.
1.swala la kula mke wa mtu ni swala linaweza fanya mtu yeyote miongoni mwenu kati ya hao watatu akapoteza maisha.
2.Ni jambo la fedheha kubwa kwenye maisha.
3.Ni mojawapo ya vitu Mungu hapendi,mtu kutembea na mke wa mtu.
4.ukifumaniwa na mke wa mtu ni ngumu sana mume wake kukusamehe.
5.pindi huyo mume wake akijua au akipata tetesi uhame mji ,hiyo itakulazimu kupoteza kazi au kuharibu mipango yako.
6.usiendelee kumzoea huyo mwanamke ,za mwizi ni arobaini .
7.jaribu kumhurumia huyo mama wa watu akikamatwa najua huwezi kumuoa ikitokea atafumaniwa .
8.kulala na mke wa mtu Kuna leta laana kwenye maisha yako.
9.kama huyo bwana ni tajiri na anakipato ,akikugundua utapotea kimya kimya .
10.Hakunaga Siri kwenye mapenzi.
11.wewe ni mpangaji tuu hapo,hujawekwa uwe hakimu wa ndoa ya mwenye nyumba wako,fanya maisha yako acha kuchumguza mambo ya watu.
12.
 
Ushasema mama mwenye Nyumba. Nisawa na Mama yako pale Nyumbani. Vuta picha Angalikua mama yako. Je? Ungaliweza fanya hayo. Kwahiyo Fikla hizo ziacha Iga Mfano Mzuri kwa Nabii Yusuph (A.S.W) Alivoishi na Mama kama huyo
 
Shida ni haiwezi kua maramoja lzm atanogewa so achana na hizo mishe bwana mdogo.
 
Chukua nafasi Tu,,ya Kuwa Baba mwenye Nyumba,,Usie na Uwezo,Mtu wa mitungi na mademu kibao.
 
Ogopa sana mtu anaejifanya hajali mke huku bado anaishi nae,huwa wana intelijinsia kali mno!.....you're about to get rainbowed!
 
Achana na Mke wa Mtu..Linda marinda yako
 
Kamwe usile mke wa mtu wa mtaani ni sumu
 
mke wa mtu unapiga mara moja tu na hutakiwei kurudia tena. ukizubua zibua hadi mtaroni maana ukikamatwa pia mtaro wako utazibuliwa. KILA LA HERI MKUU
 
Tunza malinda kijana.
 


Kifo kinakuita haraka sanaaaa, naona unacheza cheza wewe mtoto mdogo, utakufa siku sio zako, achana na usenge, wanawake wako kibao wasio olewa, unaenda kutaka kufuata mke wa mtu, utakufa ukijiona mchana
 
Unaonekana bado una umri mdogo sana. Kama uyasemayo ni yakweli basi chukua ushauri wangu huu...HAMA. Ukiendekeza tamaa itakuponza
 
unakuja kuomba ushauri ikiwa tayari umeshanikula kijana,,ila niliinjoi nakuja na leo acha mlango wazi😂😂🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…