Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

yaan mi ndo natoka usaili wa manspaa ya morogoro tka sa moja asubui mpka sa kumi n moja hii ila watu zaid ya 2600 bado awajafanya usaili mipango mibovuuuu cjawai mpata ona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wanahitaji watu wangap mbona wameita wengi sana kwenye interview
 
Sis wengine watumishi wa serekali bado tunasubir hatma yet huku moshi DC
 
Wilaya ya ubungo nasikia wamepunguza malipo kutoka 30000 Hadi 15000 kwa siku. Na pia wamepeleka watu ambao mitaa hawaijui vizuri wenyeviti wa mitaa wamecomplain hili suala!!
 
Wilaya ya ubungo nasikia wamepunguza malipo kutoka 30000 Hadi 15000 kwa siku. Na pia wamepeleka watu ambao mitaa hawaijui vizuri wenyeviti wa mitaa wamecomplain hili suala!!
Kila mtu lazma ale kwa urefu wa kamba yake😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…