Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

We mwanamke wewe siku nikikushika utaita maji mma[emoji23][emoji23][emoji23] na ntahakikisha neno โ€œinatosha babaโ€umelitamka,โ€....โ€œmetosha vahba!โ€
Hahaha utamharibu eee
 
Mkuu mbona jibu unalo, piga kimya kazi iendelee. Acha kuumiza kichwa ukiendekeza mapenzi ya kubembeleza utaumia sana.
 
Kwel Nouma Mkuu lakin nimeshapata majibu toka kwake ni kwmba nimeachwa!ila suala la Uandishi nitalishughulikia.
 
Sawa Mkuu
 
Shida la mwamba ni kwamba picha analiona, majibu anayo ila hayaamini.
Hahahah ni sawa na kuona tokeo la NECTA kuwa umezungusha ila maswali ulijibu kwa ufasaha kigugumizi cha ubongo kibaya sana๐Ÿ˜‚
 
Sawa Mkuu
 
Hahahhah hii inaitwa โ€œMAANGAMIZIโ€
 
Hakupendi.... Mtu asiyekupenda hata story na ww anakosa hata majibu yake yanakuwa kifupi fupi tu. Kwa ujumla anakuona kero kwake.
Kwa mtu anayempenda mambo yanakuwa kinyume.
Kuna sign ilibidi uzisome mapema, wakati mwingine mtu anaweza kukubali tu ili kusogeza siku au apate huduma flani kutoka kwako hasa pesa. Na si kwamba kakukubali kisa nae kakupenda.
Akija pata mtu anayempenda anakupotezea kimya kimya kama hivyo.
Anaweza kuja kukutafuta tena skiwa na shida au akitendwa huko alipo. Napo tarajia hiki tena kujirudia.
Cha kufanya usiendelee kujidhalilisha acha kupiga simu wala kutuma text. Mtu asiyeweza kuheshimu hisia zako hata kiungo uongo ni kuepuka. Akijirudisha omba mzigo piga halafu endelea kumuangalia kama kabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ