Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
HahahhahaUsicheke nione huruma na mimi...
Huruma zipo nyingi nikuonee huruma ipi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhahaUsicheke nione huruma na mimi...
Ile huruma... Huruma ilee...Hahahhaha
Huruma zipo nyingi nikuonee huruma ipi sasa
Hahaha utamharibu eeeWe mwanamke wewe siku nikikushika utaita maji mma[emoji23][emoji23][emoji23] na ntahakikisha neno “inatosha baba”umelitamka,”....“metosha vahba!”
Mkuu mbona jibu unalo, piga kimya kazi iendelee. Acha kuumiza kichwa ukiendekeza mapenzi ya kubembeleza utaumia sana.Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.
Takribani mwezi Umepita kuna Tabia ilitokea kwa huyu Binti ndani ya muda wa Siku Kama tatu nilikuwa natimiza majukumu yangu katika mahusiano kama kumjulia khali Asubuhi na pia kumtakia Usiku Mwema na kujua ni Siku yake imeishaje lakini ndani ya siku kama tatu niliyatimiza haya ila hakunijibu Simu zangu. Siku Ya nne nilimpigia simu nikaongea nae akadai kwamba alikua anaumwa, nikamweleza angenipa taarifa ila kutokujibu wala Kupokea simu zangu si jambo jema. Tuliongea hayo yakaisha.
Tatizo lingine limejitokeza leo ni Takribani siku ya nne Nimejaribu kumpigia simu hapokei, namtumia sms anazipata lakini hajibu na whatsap pia namtumia na anazisoma na anaweka mpaka sTatus ila hanijibu.
Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Kwel Nouma Mkuu lakin nimeshapata majibu toka kwake ni kwmba nimeachwa!ila suala la Uandishi nitalishughulikia.1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?
2. Ulikuwa tayari ushamla?
3. Pengine amekinaishwa na uandishi wako huu:
apokei = hapokei
ajibu = hajibu
anijibu = hanijibu
uyu = huyu
akadah = akadai
ili = hili
Hata kama wewe ni Mhaya au Mkerewe, jibidishe sana utambue matumizi sahihi ya irabu za Kiswahili na h- ambayo ni kikanushi katika Kiswahili na unapoiondoa wakati mwingine unapoteza maana kabisa. Pengine binti wa watu ulikuwa unamchanganya na maujumbe yasiyoeleweka...[emoji1][emoji1][emoji1]
Shida la mwamba ni kwamba picha analiona, majibu anayo ila hayaamini.Hahahahah mwamba kapigwa chini kwa style kama ya kukimbia deni kitapeli😂😂😂
Nitamtengeneza vizuri sana 😂😂😂Hahaha utamharibu eee
Sawa MkuuAmerudiana na mtu wake wa zamani ambaye amedumu nae kwa muda mrefu akiwa anaongopewa akiudhiwa anakasirika wanaachana wanarudiana wanaachana wanarudiana
Sasa kipindi ulipokutana nae ndio alikuwa ameachana na jamaa
So jamaa kapiga tena uwongo demu kasaundishwa karudisha majeshi
Hivyo huna nafasi tena huna chako
KWA LUGHA NYINGNE HAJAVUTIWA NA WEWE
Hila mademu dizaini wanakuja kukutafuta tena baadae wakishazalishwa wakishakuwa single
ila usiwaze akipata SHIDA YA PESA atakutafuta so na wewe umwambie NJOO UCHUKUE GHETO akija sasa
hapo sasa ndio utajumlishia zile ghalama zote machungu ya kukuchukulia poa nk
Unampakia PUTURU MUNDENDE MCONGO
unaichakata PAPUCHI vizuri mno
Hahahah ni sawa na kuona tokeo la NECTA kuwa umezungusha ila maswali ulijibu kwa ufasaha kigugumizi cha ubongo kibaya sana😂Shida la mwamba ni kwamba picha analiona, majibu anayo ila hayaamini.
Sawa MkuuMkuu umegundua tatizo lako? Nahisi bado ngoja nikuchane.
Umekaa miaka minne bila mambo ya mapenzi na ulikuwa unafanya mbishe zako maisha yanasonga huna stress. Lakini ukaona ngoja ujiongezee stress kwa kuanza kupenda hovyo, ona sasa ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuteswa na mapenzi.
Nakushauri achana na huyo manzi fanya mambo yako ya muhimu.
😀😀😀 kabisa mkuuHahahah ni sawa na kuona tokeo la NECTA kuwa umezungusha ila maswali ulijibu kwa ufasaha kigugumizi cha ubongo kibaya sana😂
Hahahhah hii inaitwa “MAANGAMIZI”Amerudiana na mtu wake wa zamani ambaye amedumu nae kwa muda mrefu akiwa anaongopewa akiudhiwa anakasirika wanaachana wanarudiana wanaachana wanarudiana
Sasa kipindi ulipokutana nae ndio alikuwa ameachana na jamaa
So jamaa kapiga tena uwongo demu kasaundishwa karudisha majeshi
Hivyo huna nafasi tena huna chako
KWA LUGHA NYINGNE HAJAVUTIWA NA WEWE
Hila mademu dizaini wanakuja kukutafuta tena baadae wakishazalishwa wakishakuwa single
ila usiwaze akipata SHIDA YA PESA atakutafuta so na wewe umwambie NJOO UCHUKUE GHETO akija sasa
hapo sasa ndio utajumlishia zile ghalama zote machungu ya kukuchukulia poa nk
Unampakia PUTURU MUNDENDE MCONGO
unaichakata PAPUCHI vizuri mno
Hahahah wacha tumalizane na Derby 😂😂😂