Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Labda kuna mahali unafeli, jiangalie huenda huna vinogesho
 
Kuna wimbo cjui unaitwa dalili wa toxic kausikilize mkuu utapata majibu yote
 
Ametumia kama kisingizio nahisi ana sababu nyngne
Kaona hamna jinsi ya kukutoka ila akupige fix tu! Ila mwisho atakuja kurudi huyo demu amini kwamba. Yakimshinda huko alikoenda atarudi mbio kwa kujifanya kafikiria kaona muendelee tu kama hatarudi untafute unipe mrejesho!
 
Ukiniambia unapungukiwa nini sasa[emoji38]
Napungukiwa damu ha haa

Vinogesho means una nini kinacho nivutia kwako na kunifanya niwe na hamu nawe muda mwingi mybe ucheshi wako, vi uchokozi chokozi flani hivi plus caring yako n.k
 
Vitoto vya hivyo ndio vimejaa siku hizi, juzi kuna mmoja nmemfatilia akaanza story za ooh najikuta nashnwa kumove on.. nikamuomba bibie naomba niweke luku mara moja then nakupgia.. ndioa ikawa imeisha hyo.. week ya pili sijamchek wala sijibu texts zake bloodfool
 
Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.

Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.

Takribani mwezi Umepita kuna Tabia ilitokea kwa huyu Binti ndani ya muda wa Siku Kama tatu nilikuwa natimiza majukumu yangu katika mahusiano kama kumjulia khali Asubuhi na pia kumtakia Usiku Mwema na kujua ni Siku yake imeishaje lakini ndani ya siku kama tatu niliyatimiza haya ila hakunijibu Simu zangu. Siku Ya nne nilimpigia simu nikaongea nae akadai kwamba alikua anaumwa, nikamweleza angenipa taarifa ila kutokujibu wala Kupokea simu zangu si jambo jema. Tuliongea hayo yakaisha.

Tatizo lingine limejitokeza leo ni Takribani siku ya nne Nimejaribu kumpigia simu hapokei, namtumia sms anazipata lakini hajibu na whatsap pia namtumia na anazisoma na anaweka mpaka sTatus ila hanijibu.

Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Mapenz usyape nafac kubwa kwny maisha take it easy aspokjb ingia tinder,taged chat utjbiw usforce afu kubali ukweli kua hakupend
 
Back
Top Bottom