Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Jiongeze tuma korosho kuja dar upge miela utakuja kunishukuru uskae kama nyanya kweny tenga kama wenyeji sasa hapo ndy uoneshe utoto wako wa mjin dar unapga deal syo kulia
 
Ntwara kuchele😂😂😂😂😂
 
Nenda SPLASH, MSEMO, OXYGEN, nenda kapate urojo stendi ya zamani, nenda ferry ukale samaki acha kudanganya watu hapa, unless umemis michepuko yako, "waiyoooo, dobi dobi"
 
Nenda SPLASH, MSEMO, OXYGEN, nenda kapate urojo stendi ya zamani, nenda ferry ukale samaki acha kudanganya watu hapa, unless umemis michepuko yako, "waiyoooo, dobi dobi"
Huelewi nini inazungumziwa ww unapayuka tu
 
muda sina kazi yangu ina ni keep busy...
Jiongeze tuma korosho kuja dar upge miela utakuja kunishukuru uskae kama nyanya kweny tenga kama wenyeji sasa hapo ndy uoneshe utoto wako wa mjin dar unapga deal syo kulia
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inategemea unafanya kazi gani wengine kazi zetu hata siku kuu upo mzigoni..
Pole sana aisee sisi tulikuwa wengi familia tumeacha Dar, kwa hiyo km sijasafiri tunaenda kule Beach. Tenaa kipindi kile kabla hiyo Patoni ya kwenda msanga mkuu haijafika bado. Tunakula samaki tunarudi home.
 
Mbaye, mdenga namadi, likonde, Salem, ufukoni, railway, mangowela, California, Comoro
 
Nikipata usafiri wangu ndo ntazoea! Usafiri shida sana huku boda boda unamtafuta kwa Tochi.. muda unamuhitaji akuwaishe Hahaha unampigia anakwambia yupo kwenye mashamba ya chunvi😄 yani ni vioja kuna siku hadi nililia
Kuna siku Hadi unalilia? Nini hiyo unayoililia🤔🤔?
 
Mtwara ni sehemu poa sana,

Ni mji usio na stress, tumeishi hapo vzr kabisa a few years ago.

Ukienda huko na mentality za dar dar hutoboi. Mwanzo ni mgumu, cha msingi we pakubali tu napo patakukubali. Mambo ya kufanya hapo ni mengi sana na hizo changamoto ulizoziona zigeuze kuwa fursa.

Karibu sana Mtwara Kuchele!!

Pitia hapa pia

Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki
 
Fursa ya kwanza ambayo nimeiona maduka ya dawa (pharmacy) ni ya kutafuta ..by the grace of God soon naichangamkia hii fursa
mkuu mungu akitujaalia uzma ntapend tuungane huko kuzchangamkia fulsa, ntakuja pm tuzungmze mana bdo cna mwenyej huk.
 
Samahani sana wadau, kwani humu Kuna walioleft group?!!!!! Mbona sielewi elewi!
 
Kusema kwamba hakuna chakula na usafiri ni uongo
Kama sio ke huyo basi atakuwa ameleft group.....ndiyo wenye mapozi ya kinyodonyodo hivi. Mlume ndago wa kweli hawezi kuongea ujinga kama huo. Mtwara sote tunaijua

Halafu ukionA mtu anaihusisha dar katika kuponda kwake mji flani basi jua kwamba hilo ni lishamba flani linatoka porini huko.

Hv pale alipotamka "Mr" mmemuelewaje huyu?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…