Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

KUTOKA HAPO KIGOMA KWENDA NAMANYERE NAULI JI KIASI GANI
 
Ni kweli KIGOMA asilimia 30 ya raia wake ni sio WaTanzania?
 

Nani amewadanganya kuna maji ya bure ya bombani?
 
Naomba kujua utaratibu wa kupata mafuta ya MAWESE
Dumu shiling ngapi huko
 
Sasa km ulikuwa hujui kwann utoe takwimu za uongo? Au na wewe ni mdini km uyo mwanasiasa anayetoka apo kigoma mjini
. wilaya za
Kasulu
Kibondo
Kakonko
Buhigwe




Karibu asilimia 90 ni christians halafu unapotosha

Kigoma mjini ndio kuna waislam wengi

Kigoma vijijini na uvinza waislam na Christian wanaingiliana kuna vijiji unakuta vya Wakristo na kuna vijiji unakuta vya waislam

Ahsante, nilikuwa silifahamu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…