igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Hakuna wilaya ya Mpanda vijijini nowadays kuna wilaya ya Tanganyika.Ikola ni kata ya Wilaya ya Mpanda Vijijini Mkoani Katavi. Karema pia ni Kata nayo ipo mkoani Katavi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wilaya ya Mpanda vijijini nowadays kuna wilaya ya Tanganyika.Ikola ni kata ya Wilaya ya Mpanda Vijijini Mkoani Katavi. Karema pia ni Kata nayo ipo mkoani Katavi
Mwidiwe Se Mwamba
Yiwe museija Olinkai?
Kuna utofauti kati ya ubishi na Hoja, watu wa Kigoma sio wabishi bali ni watu wahoja na mijadala.
Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania
View attachment 1988335
Karibuni Kigoma,
Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
View attachment 1988349
Uliza chochote kuhusu Kigoma, utajibiwa.
Hasa tiba asili, idadi ya wanaotibiwa hospitali ni chache ukilinganisha na mikoa mingine.Kwanini watu wa Kigoma wanapenda Mambo ya asili!
Ndimo Jamaaulimwo chane se mwamba[emoji1]
Ahsante, nilikuwa silifahamu hilo