Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Ukinunua pikipiki wakati jirani hana umemdharauKwasababu hawataki Dharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinunua pikipiki wakati jirani hana umemdharauKwasababu hawataki Dharau
chumba bei gani apo mwitongo hoteli?Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania
View attachment 1988335
Karibuni Kigoma,
Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
View attachment 1988349
Uliza chochote kuhusu Kigoma, utajibiwa.
Wana kisirani sana.Kuna mtoto wa Kiha mmoja nilikuwa napiga piga ila ana kisirani balaa.Ngumi nje nje alafu kila saa anakagua simu yakoMkuu nataka nioe mwanamke wa kiha, vp unanishauri vp hasa tabia zao na mila za uko kwa ujumla? Mimi natoka mbali kidogo na uko,
Mitaa ya G Pub unajizolea kama kumbikumbiConnection basi kwa ziada
Vp chura ipo lkn
Ova
😂 nikapalamsenga mkuu wengine hupindisha nakuweka nge mwisho badala ya nga,wenyeji wanapaita "kapala" hawapendi kabisa kumalizia🤣Hivi kuna sehemu inaitwa Kiparamsenge iko wapi?
Aisee!! Kijani kibichi kimetapakaa. Siku moja ntakuja kutembea Kigoma, nimevutiwa sana na mandhari.Hali ya hewa iko safi sana kwa hapa kwetu Kigoma.
View attachment 1988451
Kigoma ni Raha
View attachment 1988452
Kumbe wewe si mbongo. Huwezi kutuelewa kama hujui kuwa hatuna ukabila kuliko nchi zote Afrika na duniani.Hapa ndipo mnapo fail wabongo mnataka kumjua mtu in detail mna ukabila saana!!
Shukrani kwa ufafanuzi mwanangu. Je unaweza kutupa asili ya jina Kigoma pia kabila la waha?Si kweli, Wala wamanyema hawawezi kujifanya ni Wakongo labda huyo mmanyema awe ni mtu aliyewahi kuishi Congo na anakifahamu Kicongo. Kuhusu Khalifa Hamisi bado sijapata mtririko wa nasaba yake ilivyo.
Acha uogo we jamaa..olege wakyoma?[emoji28]Yiwe museija Olinkai?
watu wanasema kule uchawi ni sawa na mziki...ni part of life
Acha uogo we jamaa..olege wakyoma?[emoji28]
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uogo we jamaa..olege wakyoma?[emoji28]
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ,nilisikia eti al masih ad dajjal atatua uko siku za mwisho ,hii imekaaje?Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania
View attachment 1988335
Karibuni Kigoma,
Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
View attachment 1988349
Uliza chochote kuhusu Kigoma, utajibiwa.