professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Mwache bwana hawa watu ndio wanaowafaaga mkiwa na stress za mapenziMtafute mshawishi mkapime pamoja. Unaweza kuta hata hana VVU ila watu wa mtaani wazushi.
Ila usijali pia kama ni kweli anao na yupo kwenye dose chance ya kukuambukiza ni ndogo sana.
Mwisho kabisa uache zinaa na ukome kabisa.
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.
Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..
But before kunipa nilipima nikawa negative.
I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.
Nimemshawish amekubali kasema twende IjumaaMtafute mshawishi mkapime pamoja. Unaweza kuta hata hana VVU ila watu wa mtaani wazushi.
Ila usijali pia kama ni kweli anao na yupo kwenye dose chance ya kukuambukiza ni ndogo sana.
Mwisho kabisa uache zinaa na ukome kabisa.
Mbona mbali sana? Mpaka hiyo ijumaa ifike utakuwa umebaki moja. Wewe ungemuuliza yupo wapi, kanunue vipimo nenda navyo.Nimemshawish amekubali kasema twende Ijumaa
Hannah Njoo hapa grammar police tandika bakora hii mbuzi.Don't afraid men incase already your within 3 days it means 72 hrs worry out PEP itakusaidia na kama kama yuko dozi anatumia vizuri kukuambukiza ngumu mno na kama mliandaana vizuri worry out auwezi kipata mambukizi but mtaani kuna skendo ungejidhihirisha kabisa muaproach kapime nae tena kuahkikisha
πππππHapo hata mimi mwalimu nimeshindwa nianzie wapi kwakweli. Labda mwalimu digba sowey ataweza.Hannah Njoo hapa grammar police tandika bakora hii mbuzi.
Tandika bakora tu.πππππHapo hata mimi mwalimu nimeshindwa nianzie wapi kwakweli. Labda mwalimu digba sowey ataweza.
Duh ,kwa grammar hii,ni Mungu tu ndo anaweza okoa mtu huyoπππππHapo hata mimi mwalimu nimeshindwa nianzie wapi kwakweli. Labda mwalimu digba sowey ataweza.
She is available, hata Leo nimeonana nae. Iv Bei ya vipimo ni ngapi aiseee madameMbona mbali sana? Mpaka hiyo ijumaa ifike utakuwa umebaki moja. Wewe ungemuuliza yupo wapi, kanunue vipimo nenda navyo.
Nenda shuleDon't afraid men incase already your within 3 days it means 72 hrs worry out PEP itakusaidia na kama kama yuko dozi anatumia vizuri kukuambukiza ngumu mno na kama mliandaana vizuri worry out auwezi kipata mambukizi but mtaani kuna skendo ungejidhihirisha kabisa muaproach kapime nae tena kuahkikisha
You're not seriousShe is available, hata Leo nimeonana nae. Iv Bei ya vipimo ni ngapi aiseee madame