Nipo na mawazo kibao, nimetembea na binti mwenye HIV

professional ethics

Senior Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
108
Reaction score
350
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.

Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..

But before kunipa nilipima nikawa negative.

I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.
 
Mtafute mshawishi mkapime pamoja. Unaweza kuta hata hana VVU ila watu wa mtaani wazushi.
Ila usijali pia kama ni kweli anao na yupo kwenye dose chance ya kukuambukiza ni ndogo sana.

Mwisho kabisa uache zinaa na ukome kabisa.
 
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa sana.

Leo asubuhi nimeamkia kituo Cha afya Nika waeleza scenerio nzima daktari kasema kuwa nipo within 72 of exposure kanipa madawa yanaitwa ltd kuwa yatazuis iyo HIV kama ipo..

But before kunipa nilipima nikawa negative.

I'm stressed sijui hizi siku 28 za dose zikiisha itakuwaje.

Kuna jamaa juzi alitoa tahadhari, sijui kwa nini ujazingatia.
 
Don't afraid men incase already your within 3 days it means 72 hrs worry out PEP itakusaidia na kama kama yuko dozi anatumia vizuri kukuambukiza ngumu mno na kama mliandaana vizuri worry out auwezi kipata mambukizi but mtaani kuna skendo ungejidhihirisha kabisa muaproach kapime nae tena kuahkikisha
 
My nigga, stress unayohisi unayo n cha mtoto compared to stress utakayopata ukianza kumeza PEP.
Nahisi hizo dawa ziliwekwa makusudi kukomesha uzembe kwenye ngono n.k.
Mapicha picha utakayoona kipimdi chote cha kumeza hizo vidonge, nakuapia utakua unavaa condom iliotengenezwa na kitambaa ya turubai.
Sikutishi, lakn bora nikwambie mapema tu.
 
Don't afraid men incase already your within 3 days it means 72 hrs worry out PEP itakusaidia na kama kama yuko dozi anatumia vizuri kukuambukiza ngumu mno na kama mliandaana vizuri worry out auwezi kipata mambukizi but mtaani kuna skendo ungejidhihirisha kabisa muaproach kapime nae tena kuahkikisha
Hannah Njoo hapa grammar police tandika bakora hii mbuzi.
 
Don't afraid men incase already your within 3 days it means 72 hrs worry out PEP itakusaidia na kama kama yuko dozi anatumia vizuri kukuambukiza ngumu mno na kama mliandaana vizuri worry out auwezi kipata mambukizi but mtaani kuna skendo ungejidhihirisha kabisa muaproach kapime nae tena kuahkikisha
Nenda shule
 
Back
Top Bottom