Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ?

Shukran sana kwa ushauri huu ntauzingatia
 
Nimemuuliza hajaj8bu
Wewe unamuuliza maswali ya kijinga ndio maana hakujibu! Sasa mtu anakuambia alipata mimba yako we unamuuliza kwanini hakukuambia, hilo swali lina umuhimu gani? Mara alijuaje huwezi kulea hilo ni swali? Si alikuona uko apeche alolo akajiongeza?

We cha maana kapime DNA acha maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Da Ah sawa mzee ila sikuwa apeche alolo nilikuwa najiweza hasa
 
Kapime DNA simpo, na kama ushaoa, jiandae kwa mtanange wa kufa mtu.
 
Wanakimbilia kusema kama huniamin kapime DNA, wakijua DNA Bongo ni mchakato mgumu hutaweza. So wanajua tu mwisho wa siku wanatua zigo mlangoni kwako case closed
 
Kuna watu hadi wanafika miezi 8 na hawajui wana mimba. Cha msingi kapime DNA sehemu utakayopanga wewe kupata uhakika. Dah mpe.pole sana🄲
 
Umemuona mtoto huyo!!?

Kwanza kamuone!kama ni wako kweli bhas ujue Kuna vitu utaviona!!anzia hapo!

Niliwahi kataa mimba kisa nilikuja gundua tulikua mtu tatu kwenye game!baadae nakuja ambiwa na mtu mwingine kabisa hasta hatufahamiani kufuatilia kweli na mtoto kapewa mwingine!!
 
Weeh bhana chukua mkojo wako usituchoshe…!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…