Mtunisia mweusi
Member
- Oct 19, 2023
- 95
- 91
- Thread starter
- #61
Sawa shukranEbu lea huyo mtoto.
Acha siasa za majitaka
Sawa shukranEbu lea huyo mtoto.
Acha siasa za majitaka
Unao exprience hii ya majibu?hii siyo kweli,wabongo mnadanganyana sana kuhusu DNA. Kwani huikii wakitangaz kuwa asilimia kubwa ya majibu ya DNA yanonesha kina baba wamebambikwa????.. kama wako utapewa na kama si wako utapewa majibu sahihi
Sawa shukranhii siyo kweli,wabongo mnadanganyana sana kuhusu DNA. Kwani huikii wakitangaz kuwa asilimia kubwa ya majibu ya DNA yanonesha kina baba wamebambikwa????.. kama wako utapewa na kama si wako utapewa majibu sahihi
Umeambiwa kapime DNA kapime ujiridhishee . Kama si wwko mlee tu maana hali yake sio nzuri na amekutambua kama baba mtotoHapana mm sina majibu? Hayo maswali hayajibu nilimuuliza