Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
😂😂😂😂😂Karbu kwenye uwanja wa DNA ya JF ,Ngoja laboratory tools zije ku comment
Sikuwa na plan ya kucheka kabisa, thank you Mr. Angel..!!
😂😂😂😂😂Karbu kwenye uwanja wa DNA ya JF ,Ngoja laboratory tools zije ku comment
Anaumwa kansa ya kizazi.Anaumwa kansa ama nimesoma vibaya
Nimemuona hafanani na mimi hataUmemuona mtoto huyo!!?
Kwanza kamuone!kama ni wako kweli bhas ujue Kuna vitu utaviona!!anzia hapo!
Niliwahi kataa mimba kisa nilikuja gundua tulikua mtu tatu kwenye game!baadae nakuja ambiwa na mtu mwingine kabisa hasta hatufahamiani kufuatilia kweli na mtoto kapewa mwingine!!
MhKuna watu hadi wanafika miezi 8 na hawajui wana mimba. Cha msingi kapime DNA sehemu utakayopanga wewe kupata uhakika. Dah mpe.pole sana🥲
Mwambie sio wangu!!Hana nasaba na mimi na siwezi lea hiyo ni zawadi yako!!Nimemuona hafanani na mimi hata
DNA labda akapime nchi za nje ila hapa Bongo unapewa jibu moja tu ni mtoto wako(hata awe mzungu) nasikia kuna mkakati wa kupunguza watoto wa mitaani
😂😂😂😂😂Mkiambiwa mwagia kwenye kitovu hamtaki mnataka kumwagia ndani
Achana na hilo jini kama mtoto ni wako n wako tu, inawezekana kajua mahusiano yako anafosi kingi kukuharibia.Majina kaweka yangu
Mahusiano ninayo mzee wangu soon as possible nategemea nioe
Acha tu mtihani sana.Ila wanawake sijui mnatuchuliaje
ShukranMpumbavu
Uongo mtupu tunaongopewa mkuuMajibu unayo unasumbua akili zetu tulishajichokea
Uongo mtupu tunaongopewa mkuuMajibu unayo unasumbua akili zetu tulishajichokea
anajuaukiendakwenye DNA majibu lazima yawe ni mtoto wako serikali haiwezi ruhusu watoto wa mtaani kuongezeka.. je mtoto awe anafanan na wewe ?ila ukienda huko tegemea majibu ya kuwa mtoto ni wakoNipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ?
Habari za siku nyingi JamiiAfrica!
Akili yangu imechanganyikiwa sana hapa nashindwa kuelewa cha kuamua juu ya mkasa huu uliyo nitokea.
Miaka mitatu iliyopita nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke sehemu x,baadae tukaacha bila sababu za kueleweka katika huo mwaka.
Sasa mwaka huu wiki moja iliyopita(baada ya miaka mitatu iliyopita) akiwa kwenye bodaboda akanipita sehemu Y na mimi nilimuona.
Punde alirudi pale aliponiona,tukasalimiana na kujuliana hali kidogo.akachukua namba zangu akaenda zake.
Usiku wake alinitafuta kunieleza yafuatayo!
Kwamba miaka mitatu iliyopita alipata mimba yangu,na alishindwa kuniambia kwasababu aliona sina uwezo wa kuihudumia.
Pili:Anasema alikuwa na kansa ya kizazi tangu kipindi hiko kabla sijawa nae katika mahusiano,hivyo hata mimba aliambiwa hatoweza kushika kabisa.Hata hivyo akaniambia alipata mimba na alijijua kuwa na mimba ikiwa na miezi 5(hii inawezekana kweli au napigwa?)
Tatu:Anasema yeye hataki chochote kutoka kwangu ila amenipa taarifa nijue tu kama nina mtoto nae na yeye muda si mrefu anaweza kuondoka duniani kwamba kansa imefikia pabaya.
Nne:anasema nikapime DNA na dogo ili nijihakikishie kama kweli mtoto wangu na gharama atagharamia yeye mwenyewe.
Ajabu maswali ninayo muuliza ajibu kwa ufasaha.
Kwanini hakuniambia kama ana mimba yangu?
Nani alimwambia siwezi kuhudumia mimba? Na sikumwambia kama siwezi?
Mtu anaweza kujigundua kuwa ana mimba baada ya miezi 5? Kwamba mwezi wa 1,2,3,4 hakujijua kama anamimba? Inawezekana hii?
Je wazazi wake hawamjui mwenye mtoto? Mtoto hakuwa na baba na hakusema?
Je huyu mtoto anaweza kuwa wangu kweli au napigwa?
Nikimuuliza maswali muhimu yeye anasema hataki kujua yaliopita anataka nikapime Dna tu na anasema hata ikijulikana mtoto ni wangu hayupo tayari kuniachia dogo na anasema sitompata apoteze maisha.
Samahani kwa uandishi mbovu.Naomba kuwasilisha
Mtoto wangu huyu mdogo ni wakike Ila kachukua kila kitu changu ni mzuri ana rangi,ngozi, sura, MWILI na morphilogia yoteee nilivyo Mimi.Usije kujichanganya ukapime DNA maana utaambiwa mtoto ni wako hata kama siyo wako.
Kwa kukushauri tu, mchukue mama wa mtoto na huyo mtoto, nenda nao kwenu kwa baba na mama. Utapata majibu
hii siyo kweli,wabongo mnadanganyana sana kuhusu DNA. Kwani huikii wakitangaz kuwa asilimia kubwa ya majibu ya DNA yanonesha kina baba wamebambikwa????.. kama wako utapewa na kama si wako utapewa majibu sahihiDNA labda akapime nchi za nje ila hapa Bongo unapewa jibu moja tu ni mtoto wako(hata awe mzungu) nasikia kuna mkakati wa kupunguza watoto wa mitaani