Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ?

Nimemuona hafanani na mimi hata
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
DNA labda akapime nchi za nje ila hapa Bongo unapewa jibu moja tu ni mtoto wako(hata awe mzungu) nasikia kuna mkakati wa kupunguza watoto wa mitaani
 
anajuaukiendakwenye DNA majibu lazima yawe ni mtoto wako serikali haiwezi ruhusu watoto wa mtaani kuongezeka.. je mtoto awe anafanan na wewe ?ila ukienda huko tegemea majibu ya kuwa mtoto ni wako
 
Tafuta mwanao mmoja, mkafungue kesi mahakamani ya kugombania mtoto, then mkapime, hapo ndio utapata majibu ya ukweli.

Ukienda peke yako, hata kama sio wako wanakubambikia tu, serikali haitaki ongezeko la watoto wengi wa mtaani
 
Usije kujichanganya ukapime DNA maana utaambiwa mtoto ni wako hata kama siyo wako.
Kwa kukushauri tu, mchukue mama wa mtoto na huyo mtoto, nenda nao kwenu kwa baba na mama. Utapata majibu
Mtoto wangu huyu mdogo ni wakike Ila kachukua kila kitu changu ni mzuri ana rangi,ngozi, sura, MWILI na morphilogia yoteee nilivyo Mimi.

Ni kweli Kuna DNA TEST ya ASILIA na siku zoteee huwa ipo sahihi.
 
DNA labda akapime nchi za nje ila hapa Bongo unapewa jibu moja tu ni mtoto wako(hata awe mzungu) nasikia kuna mkakati wa kupunguza watoto wa mitaani
hii siyo kweli,wabongo mnadanganyana sana kuhusu DNA. Kwani huikii wakitangaz kuwa asilimia kubwa ya majibu ya DNA yanonesha kina baba wamebambikwa????.. kama wako utapewa na kama si wako utapewa majibu sahihi
 
Ebu lea huyo mtoto.
Acha siasa za majitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…