Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Nimeshauri asifuatilie hati wala documents kwa sasa...Sasa wakishamjua kwa sura tu eti kisa mwanaume afu documoo imeandikwa jina lingine itasaidia nini? Yeye kama anapenda waishi na huyo mama,ajitafute aongezee pesa ifike nusu kwa nusu ili waandike majina yao yote kama wanunuzi
Bonge ya red flag kaka, wekw kwa jina lako halaf full stop no maelezoNimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya madalali kadhaa kutafuta kijishamba bei ya kupoa km mnavyojua tena akili kichwani hawa watu wanajua kuchezea mifumo ya wanaume kufikiri lzm utembee km kobe full kuviziana😡
Basi buana siku ya siku nikapata chimbo mwanagati
Dalali akaanza milion mbili lkn nikashuka naye mpaka laki tisa
Narudi kwa baby nikampa feedback Yee akaweka boksi saba mimi nikaweka boksi mbili
Tukaafanya malipo fresh ikabki hatua ya kufuatilia hati miliki ila hapa ndio alinipandisha kisukari gafla buana
Hapo nilikuwa kwenye hatua ya kula tamu dushe likasinyaa gafla
Anashauri kiwanja kiandikwe jina la mtoto wake
Je nimfanyaje?
Kwa wale watu wa kubet watanielewa nikisema nimeanzisha familia na handcup
Je nikubali kiwanja kiandikwe jina la toto lake? Vipi usalama wangu kwa huyu dada
Ushaurini wenu wanandoa😭😭
Hii comment yako ilipaswa iwe kiwanja kutoka 2M mpaka laki 9.?Kiwanja laki 9....
Yn jamaa amechangia laki bee afu aandike jina lake? Ht Mm Nngekuwa huyo mwanamke nngetaka jina la mtoto ndo liandikwe hapo.Mshauri muandike majina yenu nyie wawili
Unashangaa?Kiwanja laki 9....
Kuandika jina la mtoto inafuata makubaliano yao yalikuwaje na lengo la kununua hicho kuwanja ni lipi.Yn jamaa amechangia laki bee afu aandike jina lake? Ht Mm Nngekuwa huyo mwanamke nngetaka jina la mtoto ndo liandikwe hapo.
Kwa hili Mm nipo upande wa single mother
Mtoa mada hana akili timamu.Unataka katika laki 9 utoe laki 2 alafu kiwanja kiandikwe jina lako? We kenge kweli. Si ulipe laki 9 kisha uandike jina lako.
By the way hii ni chai ili tu kuponda mahusiano na single mothers ila inaonesha uwezo wako wa kufikiri
Je tukiachana haki zangu nitazipataje?Hicho kiwanja ni Mali yake wewe umemchangia laki mbili tu Hela ambayo naamini anaweza kurudisha kama tutahitaji. Hakuna kitu hao watu hujali kama watoto wao yaani ukitaka Raha ya ndoa mpende mwanae na ukitaka chungu ya ndoa msimange mtoto utakipata. Sasa naona unaita toto lake hiyo ni ishara kuwa humpendi huyo mtoto hivyo ndoa imeshakushinda. Kama unataka kiwanja kiwe Kwa jina lako mrudishie Hela yake yote aliyotoa na kiwanja kitakua Mali Yako na watoto mtakao zaa lakini Kwa mazingira hayo muache shem amwandike mtoto.
Anaharakisha mambo boss anataka ajenge fasta😄Mm nashauri Ww kausha kwanza, ila fuatilia uhalali wa Kiwanja ili serikal mitaa ikutambue na majiran wakutambue kama wewe mwanaume ndio mmiliki wa Kiwanja.
Hizo habari za Hati na documents kuandikwa jina la kubali kuandika jina la huyo mtoto na sema unafuatilia lakin usifuatilie..na wala usikiandike.
Cheza na Neutral ground for now, huko mbele utapata akili mingine
Sasa kuandika jina la mke ndo unaona amefanya kitu cha maana? Kuandika jina la mtoto au mke hapo kuna utofauti gani?Kuandika jina la mtoto inafuata makubaliano yao yalikuwaje na lengo la kununua hicho kuwanja ni lipi.
Je kama ndo kiwanja ambacho watajenga nyumba ya familia unaona ni sahihi kuandika jina la mtoto tena wa kambo?
Bora waandike jina la mkewe kuliko la huyo mtoto.