Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Pia ulichoandika inahitaji akili ndogo sana kuelewa kuwa kama target ya mke ni kuandika jina la mtoto bc likiandikwa jina la mke n rahisi kubadili na kuandika la mtoto ake.Wakiandika jina la mkewe inamaana hata watoto akaye wazaa na mwanamke huyo wana haki juu ya kiwanja hicho na vitavyo kuwemo, lakini akiandika jina la mtoto itakuwa mali binafisi ya huyo mtoto na watoto watakao zaliwa badae hawatakuwa na haku yeyote juu ya hicho kiwanja na vilivyomo maana watoto huwa hawarithi kwa kaka zao bali hurithi kwa wazazi wao.
Mbona hili ninahitaji akili ndogo kulijua?
Vp mkuu, kuelewa hilo ni mpaka uwe umefika sekondari?