Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

Je wewe ulitumia mbinu gani kusolve Ili jambo bwana wako 🤔
 
😂😂😂Yatimbe tu chief ww ndio umekamata mpini we Anza kazi yakufikirusha ubongo
 
Sasa laki mbili uliyotoa ulitaka kiwanja kiandikweje? Yaan mwenzio katoa pesa yote hiyo unawaza ujiandike wewe
Je tukiachana huoni kwamba mm napoteza mali zangu 0(laki mbili
 
Hata asingekuwa na mtoto, mwanaume kuchanga hela ya vitu km hivo ujue Huna ujasiri wa kuamua iweje.
Kwa hio mshauri tu muandike majina yenu,lako na lake.
 
Sasa wakishamjua kwa sura tu eti kisa mwanaume afu documoo imeandikwa jina lingine itasaidia nini? Yeye kama anapenda waishi na huyo mama,ajitafute aongezee pesa ifike nusu kwa nusu ili waandike majina yao yote kama wanunuzi
Niliijua mapenzi hayana sheria
 
Jibu liko wazi, haina haja ya kuandika hilo jina la toto lake halikuhusu. Andika jina la wamiliki wawili mke wako na wewe kama hujazaa naye bado
 
Niliijua mapenzi hayana sheria
Sheria zipo nyingi za kuwalinda wote, hata ikitokea mmoja wapo akatangulia huwa kuna shughuli kweli kweli hawa ndugu kina uncle na aunt aaghhrr wana njaa na mali za marehemu
 
Sasa kuandika jina la mke ndo unaona amefanya kitu cha maana? Kuandika jina la mtoto au mke hapo kuna utofauti gani?
Cha kufanya hapo n jamaa adai laki bee yake ili kiwanja kiwe mali ya mke na mwanae.
Kwenye hili namuunga mkono huyo single mother
Wakiandika jina la mkewe inamaana hata watoto akaye wazaa na mwanamke huyo wana haki juu ya kiwanja hicho na vitavyo kuwemo, lakini akiandika jina la mtoto itakuwa mali binafisi ya huyo mtoto na watoto watakao zaliwa badae hawatakuwa na haku yeyote juu ya hicho kiwanja na vilivyomo maana watoto huwa hawarithi kwa kaka zao bali hurithi kwa wazazi wao.
Mbona hili ninahitaji akili ndogo kulijua?
 
Je tukiachana huoni kwamba mm napoteza mali zangu 0(laki mbili
Sasa laki mbili ni ya kuhesabu kama mwanaume? Tafuta hela kwanza ungekuwa na hela hicho kiwanja ungeacha akaandika jina la mtoto wa kambo afu mkanunua kingine mkajenga yaani mkaanza upya huku yule mtoto wa kumlea yuko na chake mapema mwanamke asije kuwa na lawama ndani
 
Kiwanja cha laki 2 (sorry laki 9) kinafananaje?
 
Tafuta hela ukaanzishe mji wako kwa hela yako. Halafu hivyo viwanja vya laki 9 ni eneo au simu?
Mikoani kuna mpaka viwanja vya laki 2 ww unasemea laki 9?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…