Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Sijapinga wala kukataa pendekezo lako, nimetoa maoni yangu kwamba Jukwaa la Siasa likiendeshwa Kama Bunge la JMT basi JF itayumba.

Siwezi kulidharau hilo Bunge ila mtazamo wangu kulihusu unatokana na matendo ya Wabunge wenyewe na uendeshwaji wake ambao unaonekana wazi matokeo yake na sio Siri.

Msingi na kanuni mama JF ni “kunena na kumala.
 
Ulikuwa umetisha. Manake kusema JF itayumba kwa kufuata kanuni na miongozo ya Bunge la JMT kana kwamba Bunge letu linayumba, ni maneno mazito.
Ni kwamba sijawahi kusikia.

Hata hivyo sikuwa nimesema tufuate Kanuni na Miongozo ya bunge la JMT, ila mabunge in General.
.....
...au ndio Kunena na Kumala huko... salaleh

Haya hayo pembeni, unafikiri ni kwanini Jukwaa la Siasa litayumba kwa pendekezo langu? Huoni kutaondokana na nyuzi za Upotoshaji? Au nyuzi zenye kutia hamasa chuki? n.k n.k..
 
Bangi mbaya nimeamini!
 
Ajuza unashabikia vita sana wakati upo CA umekaa kwenye kochi

Swali langu ulishawahi kumiliki hata silaha ya moto??
 
Hapo kwenye bold sasa ndio umeweka kinaga ubaga hoja yako.

Kwamba hujawahi kusikia mawimbi na madhoruba yanayolikumba Bunge la JMT? Hongera.

Shule ulifunzwa kuna mihimili mingapi ndani ya Nchi? Bunge ni Muhimili unaijitegemea ama sio? Kwa vitendo?

Halafu…

Unaitambua power inayoambatana na kuchagua na kupangia watu/binaadam cha kusema na kuandika? Ikiwa rasmi?
Italeta maafa.

Hivi tu sio rasmi sana ila cha mtema kuni watu wanakiona, nenda jukwaa la malalamiko na makasiriko ukashuhudie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…