Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Mbona unapenda ushabiki wa dini sana?
Mada ni nini hapo?

Kama una maswali ambayo hayana mada, hapa siyo mahala pake, kuna uzi wake huo hapo chini:

 
Sikubaliani na hilo, binafsi nimeshanzisha mada nyingi sana. Zipitie hapa:

 
Alitoa mtume wenu
Sijawahi kuiona hiyo ahadi? Uliitowa wewe?

Vifungu

 
Nataka kubishana na wewe kuhusu mavazi. Je kujifunika gubigubi na joto la dar kunakupeleka mbinguni?

Wanawake wavae mavazi ya heshima ila tu kujifinika kuanzia nywele na mabaibui kunasababisha harufu mbaya maeneo yote yenye nywele
Hapo unasemaje
😃😃😃😃 Wanaitafuta pepo kwa kujifunika gubigubi kama majini
Hizi dini ni ukoloni tosha
 
Mbona unapenda ushabiki wa dini sana?
Hilo ni swali siyo mada. Kwa maswali bofya hapo chini:

 

Sawa.

Rufiji inazama ,Je Jiwe alichemka kujenga JNHPP bila kufanya tathmini ya mazingira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…