Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Binafsi nipo tayari kujadili yote hayo, lianzishe. Mradi usiyachanganye yote kwa pamoja. Kila post iwe na mada yake.
 
Natamani tujadili namna ya mwanadada kufika climax kirahisi...
Kama mwanamke hafikii climax kwa muda unaokubalika kikawaida, kuna uwezakano wa kuwa na mojawapo au zaidi ya matatizo mengi.

Binafsi naamini kama hujajiweka kwa kujitayarisha kwenye "sexuality" kisaikolojia ni tatizo kubwa.

Lakini kuna mengi sana; usafi, mlo, afya, matayarisho, lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.
 
Mada ni nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…