Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Duh 🙄, Sikutegemea kama utakuwa na chuki mbaya na kejeli kama hii kwa Imani ambayo huiamini, Kaa kwenye nafasi yako na Imani yako. Kwanini unaibuka na kuandika vitu vyenye kukwaza watu wenye Imani Yao ?Mada ahadi ya mabikra 72 peponi
Je kama wanaume watapewa mabikra 72 kule peponi,wanawake watapewa nini?
Harmonize mwaka huu lazima apitwe na AI? Na mange kimambi lazima tumuuzie fake porn bongo artists musicians Aya tubishane sasa
Duh 🙄, Sikutegemea kama utakuwa na chuki mbaya na kejeli kama hii kwa Imani ambayo huiamini, Kaa kwenye nafasi yako na Imani yako. Kwanini unaibuka na kuandika vitu vyenye kukwaza watu wenye Imani Yao ?
Natamani tujadili namna ya mwanadada kufika climax kirahisi.
Uliitowa ndio nini?Sijawahi kuiona hiyo ahadi? Uliitowa wewe?
MADA: ELIMU , AKILI, & UJINGA
Madam FaizaFoxy. Nikusalimu kwa heshima unayostahili. Kwa Muda mrefu sana kumekua na mkanganyiko katika jamii kuhusu AKILI &ELIMU. Wapo baadhi ambao wamekua wakizitumia terminologies hizi wakifikiri wanamaanisha kitu kimoja lakini baadhi ya wachache wamekua wamekua wakiziona terminologies hizi kuwa tofauti! Kwa uelewa wa kawaida tunaweza kusema kwamba Ili kitu kiitwe ELIMU lazima kwa namna Moja ama nyingine kihusiane na MAFUNDISHO apatiwayo mtu aidha darasani, kanisani, msikitini, madrasa, nyumbani n.k n.k. Lakini Kwa msingi wa AKILI tunaweza kueleza Kwa uelewa wa kawaida kwamba ni uwezo wa binafsi wa asili alio nao mtu pasi na kuihusisha elimu yake!
Madam FaizaFoxy mara nyingi nimekuona hapa jukwaani ukitumia msemo mfupi "huko shuleni ulienda kusomea UJINGA" hasa pale unapotofautiana na member(s) huku. Swali langu ni je mtu anaweza Kwa AKILI yake kabisa kwenda kusomea ELIMU(MAFUNDISHO) ya UJINGA? Ama Mimi nashindwa kukuelewa?
Asante.
Hapo majuzi tumeambiwa sasa Figo za nguruwe unaweza kupandikiza kwa binadamu, Je kina Mohammed wapo tayari kupandikizwa endapo watapata mushkel, hili ni swaliKama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Mwamuzi ndiye mwenye hukumu ya mwisho uwanjani. Hata tukijadili haisaidii kitu.tujadilli goli la aziz ki kukataliwa na refa kwenye caf
Mwamuzi ndiye mwenye hukumu ya mwisho uwanjani. Hata tukijadili haisaidii kitu.tujadilli goli la aziz ki kukataliwa na refa kwenye caf
Naamini mama Samia yupo kwenye mageuzi (reforms) na kujenga upya (rebuild) mfumo wa serikali namna alioukuta ukiendeshwa.MADA; TEUZI
Nini mtazamo wako kuhusu teuzi za mama, rais SAMIA SULUHU HASSAN. Je, zina tija kwa taifa? Na ukichukulia gharama nyingi zinatumika kwenye kupanga na kupangua na kuwahamisha mara kwa mara watu wale wale, na gharama za kuwaita mara kwa mara viongozi wa kiserikali kuhudhuria hafla hizo huoni kama kodi za wananchi zinatumika vibaya?
Afrika ni TAJIRI sana sana.....lakini watu wake ni MASIKINI sana sana...tatizo liko wapi?Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Tatizo ni ujinga. Bofya chini ujisomee, nilishawahi kuandika kuhusu hilo:Afrika ni TAJIRI sana sana.....lakini watu wake ni MASIKINI sana sana...tatizo liko wapi?