yaani ndugu zetu kutoka ule mkoa reli inapoishia....... hii kitu ipo damuni.....! Yaani hata asipojitambulisha kabila lake....... utamjua tu!Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Jibu maswali ndio uulize swali au maswali. Maana ni wabaguzi na laana inawarudia hampendaniUnaujuwa Uislam?
Hapana sijaridhishwa na majibu yako ya hovyo hovyo majibu yako ya kishenzi kishenzi itakuwa umezeeka wewe bibi 😁😁😁😁Mwamuzi ndiye mwenye hukumu ya mwisho uwanjani. Hata tukijadili haisaidii kitu.
Nakumbuka zamani sana, Maradona aliwahi kufunga goli la mkono likawa maarufu sana "hand of God". Mwamuzi akaamuwa ni goli, ikawa ni hivyo.
Kwa wengine chungu, kwa wengine tamu.
Kwanza tukubaliane maokoto.Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Mbona umeweka namba na maneno ya watu badala ya hizo aya?Alitoa mtume wenu
Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?
As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...www.jamiiforums.com
Vifungu
umeolewa?Unataka nijinasibu kutokuwa na dini wakati nna dini na nnajivunia Uislam wangu?
Kama serikali haina dini, raia zake tuna dini na katiba inatambuwa hilo.
Hapa umenichanganya,namna ya kula unamaanisha nini?Kwa "mlo" simaanishi aina ya chakula namaanisha namna ya kula.
Kuna hoja zikikugusa unajibu, zingine unalazimisha ziwe mada.Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
Bunge hili hili la JMT?Miongozo ya Udhibiti wa Uzi.
Napendkeza Jukwaa letu la Siasa liendeshwe sawa na Bunge likiwa na kanuni za kuongoza Mijadala mbali na miongozo mikuu ya JF.
Kanuni za Bunge huongoza mijadala enye kuhakikisha utaratibu unafuatiliwa, haki kutolewa ikiwa ni pamoja na mazungumzo yenye kujenga-tia tija.
Kama kanuni za Bunge linavyo maintain Decorum, hapa Jamvini tuwe na utaratibu kama ule. Ikitokea mtafaruku, au majadiliano yakakengeuka kwa hoja isiyo na tija. Uzi ufutwe mara moja.
🤣🤣🤣🤣 Watoto msisome mambo ya wadada zenuShikamoo 🤣🤣🤣🤣
Mbona umeweka namba na maneno ya watu badala ya hizo aya?
Zinukuu hapa aya ujione ulivyojazwa ujinga ukakujaa.
Duu watu wanataka kufika Kibo, bila kutumia nguvu.Natamani tujadili namna ya mwanadada kufika climax kirahisi...
lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.Kama mwanamke hafikii climax kwa muda unaokubalika kikawaida, kuna uwezakano wa kuwa na mojawapo au zaidi ya matatizo mengi.
Binafsi naamini kama hujajiweka kwa kujitayarisha kwenye "sexuality" kisaikolojia ni tatizo kubwa.
Lakini kuna mengi sana; usafi, mlo, afya, matayarisho, lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.
Eeeeh bwanaDuu watu wanataka kufika Kibo, bila kutumia nguvu.