Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?


Nimegundua tatizo. Una akili za kitoto. Ndo maana hata mlinzi alikuita dogo. Na huyo binti hataki kuolewa na dogo. Ukue kwanza.
 
Anaye mchumba wake aliyemnunulia cherehani. Hachana na kitonga mdogo wangu, tafuta mtu wako, wekeza
 
Ujajibu swali bado, unashona nini??
 
Anaye mchumba wake aliyemnunulia cherehani. Hachana na kitonga mdogo wangu, tafuta mtu wako, wekeza
Anaposhona kama kwa mwalimu wa ushonaji sio cherehani yake.
 
Huyo ana mtu wake, tafuta mwingine last you utateseka
 
Mpaka kufika hapa kwa comment hii inatosha kabisa kujua wewe na huyo binti wote hamjapevuka mna akili za kitoto ,kueni kueni kwanza msiharakishe mambo.
 
Ndo utafute sasa,ushauri wa nini tena
 
Mimi nakushauri kajinyonge tu, maana hakuna namna.
 
Ndio nasikia leo mwanaume anaomba kuoa mwanamke. Kiutamaduni yeye ndio anatakiwa akuulize unaenda kwao lini.
 
Boss point sio kubembelezwa kuoa suala uyo mwanamke ni anavigezo sasa unabembelezwa na gumegume mimi nazungumzi Mwanamke hapa sio gumegume ambalo linatafuta kwa kufia
Wala huyo hakuwa gumegume, lakini uamuzi ni wako bro!!!
 
Dah wadau mmemshauri vibaya sana,,mimi ni huyo mcherehani,njoo tuongee nawewe hata hutishiwi
 
My advice to you, usitumie nguvu yoyote kujaribu kumshawishi mwanamke akubali umuoe, atakubali kimwili but knows moyo wake haulo kwako and its just matter of time before chaos errupts, so ili mbeleni uwe safe akubali kwa moyo wake mwenyewe
And at hiyo age she young
 
9 years age difference ni kubwa sana........ Age difference isiwe above 6 years
kwa mwanaume na mwanamke si kubwa sana.

Muangalie Majizo na Lulu Michael. Mfano mwingine, JK, na Nyalandu wamewazidi wake zao miaka zaidi ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…