Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

Duh..! Then baada ya hapo?
 
Kongole sana na Mungu akubariki sana.
Jumapili yangu inaanza safi kwa kuusoma mchango wako huu.
 
Hiyo milioni 5 mgawane na ChatGPT? 😂😂😂

Ukweli ni kwamba japo ni agizo la Yesu kuhusu ubatizo, hakuna mtu anayetajwa katika Biblia kuwa alibatizwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu

Jamaa milioni yake tano iko salama!

 
Kweli mkuu tupo na harakati za hapa na pale ili njia ya kwenda chooni isiote nyasi na tundu la choo lisizibwe na utandu wa buibui.
Mnakula nini mpaka muwe bize hivyo mbona mihogo sado ni 3000 na viazi mviringo sado mpaka 2000 weka shingo za kuku na firigisi na vipapatio vyake 3000 unaongezewa na kichwa bwashee 🤔
 
Hizi c&p hazija jibu swali la mleta mada elewa utumie akili zako sio za Google au Ai hilo ndo tatizo lenu hamtaki kushirikisha akili zenu.
 
Nina swali moja tu kwako mtoa mada, mtu akibatizwa kwa jina la baba, mwana na roho anenda mbinguni(atarithi uzima wa milele) or not ?
Ningependa jibu liwe Yes/No.
 
Ukishapewa handiko wewe litakusaidia Nini katika maisha yako??pilipili usioila yakuwashia Nini??
 
Kuna mstari unasema "...basi enendeni, mkawabatize wa watu, kwa jina la Baba, mwana naye roho" ila sikumbuki ni kitabu gani
 
Wewe unaandiko la wao kubatizwa KWA majina ya kina nani?

Pia inamaanisha walimgomea Yesu kubatizwa KWA AGIZO hilo au ?
 
Milioni tano huna. Hata buku mbili huna usutuchezee
 

Una tatizo kubwa na hela huna
 
Naona mmeikazia Mil 5, anyway mleta mada kama kweli alikuwa na nia ya kutoa sadaka kwa muumini wa kweli naamini ataitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…