Malpighian
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 232
- 305
- Thread starter
- #161
Tuonyeshe kwenye kifungu gani cha biblia?Alimbatiza Petro kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Petro na Paulo akaenda kuwabatiza Wakolosai
Tuonyeshe kwenye kifungu gani cha biblia?Alimbatiza Petro kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Petro na Paulo akaenda kuwabatiza Wakolosai
Hajajibu swali anapataje hiyo hela?Umepewa hela
Mkuu nilichokuwa nahitaji ni kuona wapi pameandikwa kwenye biblia kuonyesha wanafunzi wanatimiza hilo andiko la kwenda kuwabatiza watu kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.Hatukusomi Mkuu, sasa unauliza majina au ubatizo, sisi tumejua kuna Roho Mtakatifu baada ya Yesu ,kutuambia kuna habari hiyo, hata wewe usingemjua.
Bado inabidi utambue kwamba ubatizo huo ulifanyika.
Ni sawa na kusema Yesu alikuwa haogi au kuchana nywele sababu tu haikuandikwa.
Amina..umejibu sahihiYohana Mbatizaji hakutumia jina lolote katika Ubatizo. Ubatizo wake ulikuwa ni ubatizo wa Toba, ambapo baada ya watu kusikia mahubiri yake na kutubu,
aliwazamisha kwenye maji mengi kwa ishara ya kuoshwa dhambi zao kwa maji. (Hakuna jina lolote lililohusika).
Lakini baada ya Bwana Yesu kuja, maandiko yanasema mambo yote tunayafanya kwa jina lake (Jina la Yesu).
Wakolosai 3:17 “Na kila mfanyalo, KWA NENO au KWA TENDO, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye”.
Mkuu, wenye kujua Quran watakuja kukujibu hili swali lako. Mimi binafsi Sina ujuzi na QuranKwani unaweza kutuonesha kwenye Qurani Binadamu au mtu aliyeisoma Qurani na kuiamini na kuamua kusilimu na kuwa mwislamu ?
Viumbe walio fanya hivyo ni Majini tu kwa mujibu wa Qurani:
Je kwa kigezo hicho tuseme kuwa hiyo ni Dini ya Majini pekee ?
Milioni tano yangu naipataje?Amina..umejibu sahihi
Ungetupa na maandishi ya huo mstari ingependeza sana kiongozi!Sio mtaalamu sana maandiko ila unaweza kusoma wakorintho wa kwanza , sura ya kwanza , mstati wa kumi na nne hadi wa kumi na saba, unaweza kupata jibu lako kwa tafsiri yako.
Hivi hiyo hela ya ushindi haitoki tuu?Amina..umejibu sahihi
Mkuu nilichokuwa nahitaji ni kuona wapi pameandikwa kwenye biblia kuonyesha wanafunzi wanatimiza hilo andiko la kwenda kuwabatiza watu kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu
5000 yenyewe huna utoe mil 5 unakichaa manHabari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Lete lipa namba nikutumie chapMilioni tano yangu naipataje?
Mimi ninaamini kile kilichoandikwa kwenye biblia. Kama biblia inasema watu walibatizwa kwa jina la Yesu Kristo basi hicho ndio sahihi.Basi ndio kwenye kuuliza kwako, tambua kwamba. Yesu alitoa agizo.
Sasa wewe mwenzetu unaamini, agizo la Yesu, wanafunzi walidharau au walipuuzia, halikutekelezwa kwasababu haijaandikwa.
Sawa man5000 yenyewe huna utoe mil 5 unakichaa man
Mkuu usikazie sana kwenye hela, ni kwamba umejibu sahihi lakini rudia tena kusoma mwanzoni kabisa. Ili upate hiyo hela inabidi unionyeshe ni wapi walipoandika. Kama hakuna sehemu iliyoandikwa basi na hela haipo mkuu. Ila nakupongeza kwa namna ulivyoelezea na kutambua kuwa ubatizo ni kwa jina la Bwana Yesu kristo.Hivi hiyo hela ya ushindi haitoki tuu?
HeeeeMkuu usikazie sana kwenye hela, ni kwamba umejibu sahihi lakini rudia tena kusoma mwanzoni kabisa. Ili upate hiyo hela inabidi unionyeshe ni wapi walipoandika. Kama hakuna sehemu iliyoandikwa basi na hela haipo mkuu. Ila nakupongeza kwa namna ulivyoelezea na kutambua kuwa ubatizo ni kwa jina la Bwana Yesu kristo.
NitafuteLete lipa namba nikutumie chap