goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,763
Shida ni vatican iliingiza kwa siri fundisho lao la kipagani walilokuwa nalo kabla ya ukristo kuwafikia.Shida nn
Fundisho la Mungu jua,mwezi na nyota.
Baba mama mwana.
Shida ni vatican iliingiza kwa siri fundisho lao la kipagani walilokuwa nalo kabla ya ukristo kuwafikia.Shida nn
AiseeShida ni vatican iliingiza kwa siri fundisho lao la kipagani walilokuwa nalo kabla ya ukristo kuwafikia.
Fundisho la Mungu jua,mwezi na nyota.
Baba mama mwana.
Ndio hao wakaruhus PombeShida ni vatican iliingiza kwa siri fundisho lao la kipagani walilokuwa nalo kabla ya ukristo kuwafikia.
Fundisho la Mungu jua,mwezi na nyota.
Baba mama mwana.
Roho Mtakatifu hakuja kubadili agizo la Yesu. Alikuja kutusaidia kutimiza agizo la Yesu la kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi na kuwafundisha kuyashika YOTE aliyoyaagiza.Hapana, nafikiri hapa unajizuia kuukubali ukweli, na kukataa moja kwa moja kazi ya Roho Mtakatifu aliyekuwa ndani ya mitume.
Usinipe pole, kwa kuwa huna uhakika wa ukisemacho,Roho Mtakatifu hakuja kubadili agizo la Yesu. Alikuja kutusaidia kutimiza agizo la Yesu la kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi na kuwafundisha kuyashika YOTE aliyoyaagiza.
Yesu alituagiza tubatize kwa Jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu. Mafundisho ya kubatiza kwa Jina la Yesu tu ni ya watu wanaokana Utatu Mtakatifu. Kama na wewe ni mmoja wao, nakupa pole. Umepotea njia
KweliRoho Mtakatifu hakuja kubadili agizo la Yesu. Alikuja kutusaidia kutimiza agizo la Yesu la kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi na kuwafundisha kuyashika YOTE aliyoyaagiza.
Yesu alituagiza tubatize kwa Jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu. Mafundisho ya kubatiza kwa Jina la Yesu tu ni ya watu wanaokana Utatu Mtakatifu. Kama na wewe ni mmoja wao, nakupa pole. Umepotea njia
DuhMtoto anapozaliwa akamwagiwa maji ya mto,ikanenwa nakutenganisha na shetani Kwa maji haya,kazi kwisha,zingine mbwe mbwe tu,siri ipo ndani ya maji,na neno litamkwalo!
Somo la Utatu Mtakatifu wanaoshindwa kulielewa ni wavivu wa kusoma Biblia. Nikipata muda ntakusaidia kudadavua kwa kina.Usinipe pole, kwa kuwa huna uhakika wa ukisemacho,
Je, Kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, ni jina gani hilo linaongelewa hapo?
Aliyesema hakuna atakayekuja kwa Baba ila kwa njia yangu ni nani?
Na kwanini hapa chini, iko hivi?
Matendo 2:38
Petro akawaambia, Tubuni, mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
Matendo 8:16
Maana alikuwa bado hajamshukia mtu yeyote wao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu.
Matendo 10:48
Akaamuru wabatizwe kwa jina lake Yesu Kristo. Ndipo wakamsihi akae siku kadhaa pamoja nao.
Matendo 19:5
Waliposikia haya, wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Hapana, hilo lako ni mapokeo, haliingii akilini, kwani wewe, jina la Baba yako ni Baba?Somo la Utatu Mtakatifu wanaoshindwa kulielewa ni wavivu wa kusoma Biblia. Nikipata muda ntakusaidia kudadavua kwa kina.
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu.Mpaka Sasa hakuna aliejibu hoja ya mleta mada, wote mnaruka tuka tu.
Mleta mada anataka MFANO wa MTU AU WATU waliobatizwa Kwa JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU" sio VIFUNGU VYA AGIZO HILO.
Mleta mada anataka ushahidi wa utekelezaji wa agizo la kubatiza Kwa jina la baba,mwana na roho mtakatifu
Hatukusomi Mkuu, sasa unauliza majina au ubatizo, sisi tumejua kuna Roho Mtakatifu baada ya Yesu ,kutuambia kuna habari hiyo, hata wewe usingemjua.Nashukuru mkuu, sio kwamba wanafunzi hawakutii agizo la kubatiza, ila walibatiza kwa Jina na wala sio majina..nauliza tuu jina la Baba ni lipi? Jina la Mwana ni lipi? Na Jina la Roho Mtakatifu ni lipi?
NB: Hela nitabaki nayo kwasababu hakuna mtu kwenye biblia aliyebatizwa kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu wala hakuna kitu ktu kinachoitwa utatu. Mtakatifu
Nakupa namba yangu ya lipa naomba hicho kibunda cha Million 5 taslimu kiingie humoHoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Wakolosai walibatizwa hivyoMpaka Sasa hakuna aliejibu hoja ya mleta mada, wote mnaruka tuka tu.
Mleta mada anataka MFANO wa MTU AU WATU waliobatizwa Kwa JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU" sio VIFUNGU VYA AGIZO HILO.
Mleta mada anataka ushahidi wa utekelezaji wa agizo la kubatiza Kwa jina la baba,mwana na roho mtakatifu
Umepewa helaMathayo 28:19
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost:
Alimbatiza Petro kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Petro na Paulo akaenda kuwabatiza WakolosaiUmepewa hela
Hela atoe wapi? Hana hela huyoUmepewa hela
Nashukuru mkuu, hilo ni agizo walilopewa wanafunzi wake. Hoja ni unionyeshe kwenye biblia watu waliobatizwa kwa ubatizo huo wa kwa jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu.Nakupa namba yangu ya lipa naomba hicho kibunda cha Million 5 taslimu kiingie humo
Mapema Yesu alikuwa amewaambia wanafunzi wake wabatize "kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" (Mathayo 28:19).