Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

Sijaelewa mahana halisi ya kuhonga kwa jinsi nilivyosoma Uzi wako
 
Wanaume suruali utawajua tuu, nyie ndio wale hata mke wako akiomba hela unawaza kuchunwa tuu anavaa kiatu hadi kinatoboka kisa baba toto hutaki toa, ila nyie ndio mkienda baa mnazungusha hata raundi 10 kwa mpigo.
Ila kiufupi bado ladha za papuchi tofauti hamjazijua. Acheni kuvaa ndomu ndio zinazowafanya muwe wabahili.
 
Umewah pata usingiz wa mang'amung'amu ? Yaani unakuwa haujaseto. Unalala unaamka , unalala juu juu tu siyo deep. Ndo kuna wanawake wapi hivyo.... Hawaelewek elewek

ahahahha eti mang'amu ng'amu !haahahah maana ya ung'amu ng;am nadhan ni kublink blikn eyes !uwiii !twafaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Umewah pata usingiz wa mang'amung'amu ? Yaani unakuwa haujaseto. Unalala unaamka , unalala juu juu tu siyo deep. Ndo kuna wanawake wapi hivyo.... Hawaelewek elewek


hhhhqh wapo aisee ht ukikaa naye bar macho huku na huku kutafta vichwa ahahahahah 1mara aende toi mara anyanyuke heheheheh!haya paap tumekusomaa
 
Halafu mara nying wanawake wa aina yako hata uelewa wao huwa mdogo. Wao wanafikiria tu apigwe kitu apewe pesa. Kwenye uzi imesemwa kabisa mpe pesa mkeo. Au kumpa pesa mke wangu si tatizo. Tatizo ni kwa nyie manungayembe. Wacha niwe mwanaume suruali... Kama unauza tembea na EFD machine kabisa.

 


Mbona waonekana unafurahia tabia yako, just enjoy tabia yako uliyozaliwa nayo.
 
ndugu MADEM WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI
we endelea tuu na ubahili wako!!
 
Wewe mdada una akili sana... Mumeo kwa kweli alichagua...umenena kweli kabisa... Kuna mwanamke akipata mwanaume anamwita kichwa... Yaani amekula kichwa... Halaf eti nimhonge.... Acha tu niitwe surual

hhhhqh wapo aisee ht ukikaa naye bar macho huku na huku kutafta vichwa ahahahahah 1mara aende toi mara anyanyuke heheheheh!haya paap tumekusomaa
 
Wewe mdada una akili sana... Mumeo kwa kweli alichagua...umenena kweli kabisa... Kuna mwanamke akipata mwanaume anamwita kichwa... Yaani amekula kichwa... Halaf eti nimhonge.... Acha tu niitwe surual


hahaha haya bwana !nayajua coz yapo sana vyuoni hayo na mitaani
 
Naamini kwamba, mwanaume anayefahamiana na wanawake(sio ndugu) kama 12 hivi, kuna kama watatu 'wanamkubali' sana kiasi kwamba wanaweza 'kulala' na yeye bila malipo.
Sasa, kama ndo hivyo, hamna sababu ya kufukuzia wengine kwa gharama, wakati una ambao wana utayari.

Kauli mbiu: Save your money. Save yourself.
 
Mimi nilijifunza kutohonga mwaka 2013 nilihonga RAV 4 Kilichofuata nikakimbiwa.Siku hizi nikihonga lazima niote ndotoni
 
Hao nawapata ila siyo wale wa kiswahili... Halafu unajua miaka hii mademu wazuri ni wengi sana... Mi ndo nawachuja kwa style hiyo yale makap yanajitoa kwa kutaka kunichuna
 
Thredi ka hii huwa haichangiwi na wanaotarajia kupata papuchi huku, sana sana wanakuja kukupondea. Subiri utawaona tu.
 
Reactions: ywf
Wabahili kumbe tupo wengi aisee


Jamani tunatakiwa tuanzishe chama chetu....mimi si bahili ila sioni sababu ya mwanamme kumhonga mwanamke wakati unamsaidia kumpa gegedo. Ebu jiulize, yeye analala tu, wewe ndiyo ujipinde mgongo, utokwe na jasho mkunduni kisha umhonge demu wakati umemsaidia? Ahh walahi kwa hili niiteni mbahili tu.
 
Kwakwel sijawah kuhonga, uzi wang unasema nakula over age
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…