Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

Wewe sio gudume bali ni kadume. Unaashindwaje kuhonga!!!! Hata jogoo anahonga
 
Kuna rafiki yangu ni bahili kama ww ila kila akiwashwa anakimbilia kununua makahaba sasa najiuliza wale makahaba wanampa bure?.
 
ahsaaante Mwana FA...mimi pia niko radhi waniite "dume suruali" poa tu..lakini sihongi ng'oo
 
Wanaume tuna tabia ya kukataa hatuhongi, ila kwa wale mnaoweza kukaa mamiezi kibaaao bila kula papuchi ndio mtaweza,
Mi ikipita wiki 2 sijagusa papuchi naona kama mwaka, papuchi ya bureee huwezi ipata kwa mda utakao.



Mbona zimezagaa kila kona, tunapigia simu demu anaomba kuja kiujanja na tunakataa. Mwanamme anayejitambua HATAKIWI kuhonga na mwanamke anayejitambua hapendi mwanamme anayehonga kwani anakuona hujuwi game ila ni mjinga tu wa kuchezewa akili.
 
Hongera Mkuu,ni Ukweli mtupu.
Unakuta mwanamke hajawahi kojozwa hata cku moja kidume unafanya kazi kwa ufanisi kwanini asikuhonge na kukuganda
Mmmh kunawengine hatuamini katika kukojozwa hah hah hah
 
usiseme haipo sema wewe hupati. mi mbona napata sana. wewe inabidi utumie pesa maana bila pesa huna ambacho unaweza mshawishia mwanamke. so inabidi akuuzie ili naye ajiridhishe na moyo wake. nyie wanaume wa hivyo mpo.sisi wengine hata tukiwa tumesimama pasipo nguo.. mwanamke anavutiwa na sisi... nyie wenzangu ndo inabidi uwe na gari,simu kali,na pesa ili hivyo vitu ndo vimvutie mwanamke. acha si tuendelee kujigongea kwa mapenzi... na hela unazohonga ndo tunaletewa sisi wanaume wa aina yetu... wewe ukimnywesha huko n.k anakuja sasa kupiga game ya ukweli kwa hawa wanaume ambao wao huwa na mapenzi tu ya ku enjoy.
Kama umezoea kuhongwa si utafte mwanaume mkuu awe anakuhudumia....maana iyo type ya wanawake ulosema ckuiz haipo
 
ha ha haha... nyie pia mpo.. so nyie mtaenda kwa wa aina yenu. mtawapa huduma nao watalipia basi maisha yanasonga mbele...............

Mmmh kunawengine hatuamini katika kukojozwa hah hah hah
 
nashukuru maana nlidhani hili ni tatizo. maana ninafaham jamaa zangu wengi wanahonga sana.... yaani wamekuwa kama mazezeta. halafu wakiwahonga mademu wapo na kuwalewesha baadaye wale mademu wananitafuta mimi nikawapige show... mi huwa nakataa... wanasema wanaenjoy kulewa na pesa za majamaa lakini jamaa wenyewe nao wanachoka haraka sana.... so wanaishia tu kuwananii.... mi huwa nawaambia mi siwawezi nyie sina pesa. wanajibu pesa washapata kule.... sasa ni wakati wa mambo mengine.

hiyo huitaji kwenda mganga ndio misimamo ya mwanaume kamili sio unakuwa mlaini unapigwa mizinga ya hovyo ....kama unataka kutoka kwenye uanaume kweli bc utakuwa umepoteza moja ya kanuni muhimu sn ya mwanaumr
 
Zama zimebadilika si kila ugonjwa ni malaria.

HAKUNA KUONGA HAKUNA KUONGA
 
ndugu MADEM WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI
we endelea tuu na ubahili wako!!
Hii misemo mingine mnakaririshana tu...kwahiyo demu mzuri ndo anastahili kujiuza,? Demu mbaya aliwe bure kwa mantiki yako sio?
 
Kuhonga ni kawaida ila km unahonga demu asiyeleeweka ndo shida..demu unajua kabisa huyu anakukomoa au anakuchuna unampa ya nini....
 
Yan wewe naona umenisema mimi kabisaaaaaa

Kuna dem napga saiv yan watu wanamuogopa kwa ukicheche na washikaji wananambia niachane nae coz n kiwembe ila mi ndo hata sijali na wala sijawah kumuonyesha kwambq najua yeye ni kicheche ila nachofanya ni huwaga nampeleka kupimz zen naliamsha dude

Kupenda ilikua zqmani saiv utakufa kwa presha bure na hyo tabia ya kuwa na dem mmoja ndo inaletaga wivu we jifunze kuwa na maamuzi magumu sio unaogopa kumuacha dem hatakama anakumalizia hela zako

Mi dem hata awe mzuri vipi huwa sidumu nae kabisaaa na siumii kuachana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…