Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

GuDume umenikumbusha stori ya cashier mmoja kwenye duka kubwa la wahindi maeneo ya town, dada yupo njema mnoo ilikuwa ni chakula ya boss, lunch hours boss anampandisha New African hotel kula mambo, anamuachia na pesa ya kutosha, dada akifunga duka jioni break ya kwanza ghetoni kwa jamaa pale mikumi, jamaa anamtengeneza vizuri sana hata kusimama shida na anamuachia pesa yote aliyopewa na muhindi....
 
mi mchanganyiko wa Mpare na Mkinga. baba ake SIHONGI KITU.... HAPA KWANGU KAZI TU KULA KWENU.... NA MADEMU WAKALI NAPATA SANA TU. NA WENGINE VICHECHE NAO NAPATA UNAJUA UNAPOENDA KUVUA UNAVUA KILA AINA YA SAMAKI HALAFU NDO UNAWATENGA KULINGANA NA MAJINA NA SIFA ZAO.

Wee Mpale Wa Wap Ndugu Yangu....??
 
Ha ha ha... hata wao wanapiga selfie siku hizi... ila dunia ya leo kuna midudu ming tu ya kupiga nyanjo.... X
Ila nyie nyege zikizidi sijui mnazipunguzaje, maana sisi hatukawii kupiga SELFIE
 
SEE... HUYO JAMAA SASA NDO GUDUME.... BOSS ANAHONGA JAMAA ANAKUJA ANAPIGA SHOW YAKE KALI NA MKWANJA ANAPATA SIKU INAENDA VYEMA..... hawa ndo wanaume tunaotaka dunia ya sasa.. wale wanaume pochi tumeshachoka nao sana..... sasa hivi sisi tunapiga kila aina ya kazi PESA ZETU TUNAKULA NA WAKE ZETU NA WAZAZI WETU. HAPA STORY TU KULA KWENU. ndo kauli mbiu ya sasa.
MBITIYAZA
Cajojo
Valentina
mahondaw
 
Chimdia upo wapi mama? hiyo avatar yako imekaa bomba sana.. jamaa wanaiweza kweli? tuwasiliane ndugu yangu huu ndo mwanzo wa kufahamiana.... mimi si mchoyo. nikunyime nini? ikiwa nakuwa tayari kukufanyia kila kitu tunapokuwa uwanjani sasa unasemaje mi mchoyo???????????????? halafu kwa hiyo avatar yako hupendezi kuhongwa kabisa... kuna wanawake wamekaa kifundi mchundo ukimwona tu mdada unajua hapa nataka kudate matatizo.
Una dalili za uchoyo...
 
sasa kuna tofauti. wale hawahongi. ananunua anajua kabisa ananunua na wanakuwa kibiashara. ipo tofauti ya kununua na kuhonga. halafu wale nasikia hawana gharama... mkimalizana unampa chake kila mtu anashika zake. habari za kuwa sijui mama yake anaumwa, sijui mtoto wake kajikwaa, sijui amepungukiwa ada hamna.

Kuna rafiki yangu ni bahili kama ww ila kila akiwashwa anakimbilia kununua makahaba sasa najiuliza wale makahaba wanampa bure?.
 
Daaaa!!!!! Hii inafundisha ngoja wenyewe waje watoe povu
 
aaaaahh sisi wanaume hatuhongi bwana. sisi wanaume tunakuuzia maneno tunapiga game ukitaka bak kama hutaki anza mbele. siku inasogea. niache kumpa mama yangu pesa au atakayekuwa mke wangu na watoto wangu nimpe mtu baki tu ambaye wote tumesikia raha.... aaah wapi sifanyi ujinga huo. hapa kwangu ni kazi tu.
Wewe sio gudume bali ni kadume. Unaashindwaje kuhonga!!!! Hata jogoo anahonga
 
Bora iwe ivo kuliko unampa mwanamke pesa then na yeye anaenda kumpa mwanaume mwingine
 
Hahaha haya nakuona nakuona katka ubora wako
 
Safi sana wife na mama ndo kila kitu
 
Haha wakuu mm nmetakaa kupgwaa mzingaa dem nmekaa naee kwenye mausiano ataa wikii haijaishaa Tatar anajidai mgonjwaa na anatkaa nimtumiee lakii ya matibabuu hpo sijamuona ata papuchii sijailaa bdoo. Hahaaa hpo ndo naonaa mabnt Wa kchagga sio Wa mchezo mchezoo aisee
 
Cajojo ha ha ha.. hivi tuache masikhara.. we mrembo umeshaolewa? tusije tukakaa kaa hivi muda ukaenda tukazoeana nikaja kukwambia naomba game ukasema unaniona mimi kama kaka yako... utadhani mimi siwafaham dada zangu. tuwasiliane basi.... muda ndo huu.... sisi wote bado vijana hakuna haja ya kulumbana.

Hahaha haya nakuona nakuona katka ubora wako
 
basi kama vipi mtafute yule dada uliyekua nae kule chooni hospitali karibu ufe .. Atakua bado na mapenzi na wewe.. bakhili wahead!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…