Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Unategemea nini, Na zile Propaganda lazima watu waone kwamba alikuwa second coming

Tunatumia Pesa Zetu, Miradi Lukuki, Mabeberu tunawabana, Uchumi upo Poa, n.k. Bila kujua the other side unategemea nini ?

Am sure hata Kim wa Korea au Russia ya Stalin.., miaka ya mwanzo mwanzo ulimwengu ulidhani all is well...
 
Reactions: Qwy
Vipi hawamuulizii Robert Amsterdam?

😁!
 
Naona nyuzi za propaganda zimeshamiri humu! Kule wanasema Mbowe kaua, huku mnasema wazambia na shujaa wenu.
 
Reactions: Qwy
Kwa hiyo wakimuuliza sisi tukusaidie nini
 
Uongo mtupu, hajawaombea kitu chochote, Zambia haijawahi kumzuia Mtanzania yeyote kununua Soya huko. Hiyo ni biashara na Wazambia wanapata faida kumuuzia mtu YEYOTE atakayetoa bei ya juu.
 
Hata hapa nje ya JF Magufuli ni masiha. Subiri mwaka mmoja upite, wote michadema itamgeukia. Vuta subra mkuu
Sijui watapataje kura bila kumsujudu, acha watukane mitandaoni siku wakiingia field ndo wataelewa "wananchi" ni akina nani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…