Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Upo Zambia maeneo gani mbona sikuoni?
 
Kapimposhi=kapilimposhi.
Kasumulo=kasumulu
Achana na huyo mjinga ametoka Chato vichakani amefika mpakani Zambia basi anahisi amekanyagwa ardhi ya Geneva au Manhattan Kinga kabisa.

Analeta mada ya kipumbavu sana
 
Watu bado wanaendelea kuwazungumzia akina Adolf Hitler, Iddi Amin kwa hiyo kwa mtazamo wako kwa kuwa wanazungumziwa nao ni immortals
Kwani kunaubaya Iddi Amin akiwa immortal? Kwenye kundi la Tupac, Out-Lawz kuna jamaa alijiita Iddi Amin. Sio kisa aliingia vitani na Nyerere ukadhani dunia nzima ilimuona hafai. Kwani Yesu hawakumsurubu kwa kumpa hatia mbalimbali? Mohammad kapigana vita ngapi na kuuwa pia?

kuua watu wakati mwingine ni jambo la kumsifu Mungu, soma historia ya taifa la Israel kwa mfano, wafalme wake wamepigana vita ngapi na kuuwa wangapi kwa kigezo cha utaifa teule. Ubaya ya Hitler, Khadafi na hata Iddi Amini umeongezewa chumvi za propaganda. Nobody is perfect, Magu is immortal.
 
Sawa wahadithie tu! Ila kwa sasa yupo kiongozi mwingine na wengi tunampenda sana!
 

Hapa ni sawa na kusema watanzania tulikuwa tunamsifia Mugabe. Ni hivi, ibilisi hatakati hata kwa JIK.
 
We nae umeongea nini sasa Gadaffi kumjua hadi uishi libya kwan yeye ni Mungu


Hata biblia inasema kama bwana ataangalia matendo na dhambi zetu nani atasimama
 
Sina shaka hata kidogo na uliuoyaandika, sikupata bahati ya kuongea sana na Wazambia wakati nikiwa huko lakini Wacongo wa Lubumbashi wanamfananisha Mzee Magufuli na Mkombozi wao Patrice Lumumba. Walitaka Mzee Magufuli angoze Congo DR hata kwa miaka mitatu tuu, na hawatajali utaifa wake na wange mtimizia masharti yote ya kugombea na kampeni.

Hali hiyo nilikutana nayo South Sudan nikiwa kikazi kufanya review ya economic performance yao. Baadae mzee wa juu kabisa kimadaraka akaongea kiufupi akaniambia anataka mtanzania angoze South Sudan Revenue Authority na kama kichwani mwangu na watu bora watatu wenye uzalendo wa kufia nchi kama Magufuli ni wapendekeze, anzie hapo, na kweli alimchukua Mtanzania kama Mkurugenzi mkuu na SSRA ya SouthvSudan inahitaji waTanzânia 9 zaidi.

Na nafasi hizo tisa (9) wa South Sudan wanataka waajiriwe watanzania tuu na wala siyo wananchi kutoka nchi yeyote ya Africa Mashariki ila wafanane na Magufuli na malipo ya kama dola 12000 kwa mwezi na stahiki zingine nyingi.

Na hata watanzania wanaoishi nje ya mitandao wana mkumbuka na kumtamani Magufuli. Hata shemeji zangu Wakurya: Magufuli ndio moja ya Marais waliopita wanao wakubali sana. Na bahati mbaya shemeji zangu mtuu wanawapenda Mashujaa, hawawapendi viongozi legelege hata awe wema.
 
Wanasikitisha sana, wapo very out of date...

Ni sawa wale ambao wanaodhani mpaka leo Nyerere bado ni Rais...
 
Hawajakwambia lolote kuhusu msaliti Lisu?
Lissu watamjua wapi huko Nakonde? Nakonde ni kama Nanjilinji tuu watajuaje mtu wa kiwango cha Lissu anayejadiliwa Aljazera, CNN na Reuters?
Acha masihara bibie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…