Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Kama anakutafuta baada ya mda anaacha then anaanza tena kukutafuta .huyo anataka kukutafuna/kukukula tu.

Mwanamme wa hivyo atakuwa na mahisiano sehemu yanayompa Raha. Wala wewe sio.
 
Wewe umesema hutaki kuendelea naye kwa sababu ana mtoto, at the same time unataka kujua kama ana maanisha swala kukuoa au anakuigizia, Tukueleweje umeshajua unataka nini kwenye maisha yako 🤔
 
Wewe umesema hutaki kuendelea naye kwa sababu ana mtoto, at the same time unataka kujua kama ana maanisha swala kukuoa au anakuigizia, Tukueleweje umeshajua unataka nini kwenye maisha yako 🤔
Bado
 
Je, wewe ndoa ni kipaumbele chako ?! Kama ndio kubali and the vice versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…